Tanzania Companies top listed

Tanzania Companies top listed

I think its same na Tz itakuwa nmesikia vibaya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Not really. Tanzania forces companies in mining and telecommunications to list on dar es salaam stock exchange while Kenya does not. Tanzania also forces foreign companies exceeding a particular revenue base to list on the stock exchange.
Base Titanium a foreign mining company in Kenya is not listed despite making revenues from mining titanium in Kenya (about kes 8 billion in net profit, kes 5.9 billion contribution to GDP). Carrefour a french supermarket chain has about 10 branches in kenya with revenues in billions of kenyan shillings, in Tanzania it would have been forced to list on the stock exchange.
 
Anha inakuwa traded sana via stocks

Alfu si ni sheria kwa kila company ziwe listed kwenye stock exchanges ..lets say how does it work huko kenya ..are most of big companies listed ?

Huku Tz kuna company nashangaa hazijawa listed
Mo, Azam, Tigo, Airtel, Ttcl .. And i fail to understand why

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu ni private companies.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Huyu msee hubisha hata ukimpea facts, he is simply trying to downplay kenyan shares in safcom, hehehe nkt
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😍

Huwa nikiangalia hii kitu machozi yanataka kudondoka

Imagine this multi billion white elephant scam just dumped in the bush no railway nor road to connect to nowhere

Pesa zimepigwa and case closed
Kazi kwenu wavuja jasho kulipia ufisadi wa watu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂


Screenshot_20200516-090425.png
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😍

Huwa nikiangalia hii kitu machozi yanataka kudondoka

Imagine this multi billion white elephant scam just dumped in the bush no railway nor road to connect to nowhere

Pesa zimepigwa and case closed
Kazi kwenu wavuja jasho kulipia ufisadi wa watu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂


View attachment 1454950

Sasa watu wanaongea about listed companies wewe uko in a different topic, take this to the Lapsset page, acha kuruka ruka kila mahali bila direction
 
kuna difference ya market cap na GDP,market cap ni value of shares traded at stock market hakuna production hapo,lakini GDP ni uzalishaji upya wa bidhaa,kwa mfano naweza kua na shares za safcom alafu niuzie investor mwingine hapo hakuna uzalishaji upya wa mali,lakini gdp nikilima shamba yangu nipeleke bidhaa sokoni na niziuze,hapo nimezalisha mali upya,ndio maaana SA GPD yao iko around $200b
Sio chini ya $370B

Sent using Jamii Forums mobile app
 
La. Ukiwa na kampuni yako kibinafsi kama vile Azam, sio lazima watu wanunue stock. Lakini kama huna hela na unataka kuuza stock ya kampuni yako basi hapo ndipo unaweza kuiuza kwa umma kwenye Dar es Salaam stock exchange. Lakini kumbuka ukiuza stock zaidi ya asilimia hamsini ya kampuni yako utapoteza control ya kampuni yako. Ukiwa na umiliki wa asilimia arubaini na tisa (49%) basi huna control tena wa kampuni yako.

Hii ndio maana Mo na Azam hawataki kuuza stock sana maana hawataki kupoteza control. Mtu au Watu wanaomiliki zaidi ya asilimia hamsini basi wao ndio wanaocontrol kila kitu kwenye kampuni. Wanaitwa majority shareholders. Akitaka Azzam anaweza kuuza stock hadi ifike 51% lakini hawezi uza zaidi ya hio kama bado anataka kucontrol kampuni yake.

Tukitumia mfano wa safaricom, nmeona the government own 35% of which ndo nyingi! lakini hakuna mwenye zaidi ya 50% , nan ndio msemaji mkuu apo!
 
No , watu wananua shares ukiweka kampuni yako kwenye soko la hisa...
sana sana kampuni zinafanya hivi kupata pesa za kuendesha biashara na kupanua

Is it possible nkaweka kampuni kwenye stock market alafu later nkaja kuitoa? Sheria ikoje kwenye swala kama hili.
 
Back
Top Bottom