Tanzania currency - hapana tambua

Wakenya wengi wasioijua Tz vizuri hufikiri kwamba in Tz ukitaka kununua Jokofu/Fridge inakubidi mwandamane na familia nzima wakusaidie kubeba mabegi ya pesa ama unakodesha pick up hadi dukani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... valueless money
 
Hahaha! πŸ˜€ Ndio huyo hapo mtz madukani akilipia friji yake mpya. Alafu balance itakayosalia atamtilia muuzaji kwenye M-Pesa. [emoji23]
Wakenya wengi wasioijua Tz vizuri hufikiri kwamba in Tz ukitaka kununua Jokofu/Fridge inakubidi mwandamane na familia nzima wakusaidie kubeba mabegi ya pesa ama unakodesha pick up hadi dukani
 
Ile Noti ya Bob ni kubwa sana, Huwa haitoshi kwenye wallet.. Hope they resize
Maajabu leo hujamwaga povu hehehe... lakini wito wako umeitikiwa. Noti mpya ni ndogo kuliko ya sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…