Tanzania currency - hapana tambua

Tanzania currency - hapana tambua

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
1113866
 
7782f-zimbabwe-cash-inflation.jpg
Hahaha! 😀 Ndio huyo hapo mtz madukani akilipia friji yake mpya. Alafu balance itakayosalia atamtilia muuzaji kwenye M-Pesa. [emoji23]
Wakenya wengi wasioijua Tz vizuri hufikiri kwamba in Tz ukitaka kununua Jokofu/Fridge inakubidi mwandamane na familia nzima wakusaidie kubeba mabegi ya pesa ama unakodesha pick up hadi dukani
 
Ile Noti ya Bob ni kubwa sana, Huwa haitoshi kwenye wallet.. Hope they resize
Maajabu leo hujamwaga povu hehehe... lakini wito wako umeitikiwa. Noti mpya ni ndogo kuliko ya sasa
 
Back
Top Bottom