Tanzania Daima kufungiwa?

Selous

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2008
Posts
1,325
Reaction score
145
Jana nilikuwa naangalia taarifa ya habari na nilimuona na kumsikia Mkuchika akisema kuwa kuna gazeti moja la kila siku liliripoti kuwa jeshi la magereza lisingeperform siku ya uhuru wa tanganyika. kisa ni ufisadi ndani ya jeshi. Mkuchika aliziita hizi taarifa ni za kichochezi na akatoa onyo kwa hilo gazeti la kila siku. pia alisema uchunguzi unafanywa. Je, was Tanzania Daima? i guess kwani ndo kwa mara ya kwanza nilisoma taarifa za ufisadi ndani ya jeshi hili. Mwenye taarifa zaidi tunaomba, ambao hawana habari ndio hii.

Asanteni
 
Ni uzushi tu uchunguzi wa nini kama ikiwa kuna ufisadi ndani yake kama kawa? Huyu mkuCHIKA hana demokrasia hata hukemea watu wote wanaohoji serikali iwe wasanii au wanajamii. Serikali si iko answerable kwa wananchi au ni infallible na haitaki kuulizwa kitu? It is funny and he is funny too.
 
Wameshamaliza uchunguzi dhidi ya gazeti la Habari Leo kuhusu madai ya baadhi ya viongozi wa cCM kumhujumu JK? Hatua gani wmezichukua hadi sasa?
 
Hivi ile "ban" ya Mh Mkuchika inaisha lini?
 
Du kweli tutasikia Mengi, Bado JF?
 
Mkuchika is sick kwa ajili ya ile ban, anatafuta pa kutokea! TD waliandika askari wamelalamika kwamba hawatakuwa tayari kushiriki kwa vile walikuwa hawajalipwa.. what if baada ya kushout walilipwa ndo maana wakashiriki gwaride hili?

Mkuchika do your homework first siyo kuendekeza hisia na biff zako against some media!
 

Mkuchika bwana, hivi huyu jamaa ni wa wapi? Nini maana ya jina lake? Inawezekana ana laana. Anasema kuwa ‘Habari hizo ni za Uzushi , si za kweli, zenye lengo la kuletea uchochezi’. Halafu anasema Uchunguzi unaendelea. Inaama maana kauli yake kwamba ni habari za kizushi zimetoka wapi kama uchunguzi unaendelea, naona Mh. Ameamua kutoa mwongozo ya nini kinatakiwa kiwe matokeo ya uchunguzi huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…