Selous
JF-Expert Member
- Jan 13, 2008
- 1,325
- 145
Jana nilikuwa naangalia taarifa ya habari na nilimuona na kumsikia Mkuchika akisema kuwa kuna gazeti moja la kila siku liliripoti kuwa jeshi la magereza lisingeperform siku ya uhuru wa tanganyika. kisa ni ufisadi ndani ya jeshi. Mkuchika aliziita hizi taarifa ni za kichochezi na akatoa onyo kwa hilo gazeti la kila siku. pia alisema uchunguzi unafanywa. Je, was Tanzania Daima? i guess kwani ndo kwa mara ya kwanza nilisoma taarifa za ufisadi ndani ya jeshi hili. Mwenye taarifa zaidi tunaomba, ambao hawana habari ndio hii.
Asanteni
Asanteni