Tanzania Daima: Kuna Hujuma Baraza Kuu CHADEMA

Tanzania Daima: Kuna Hujuma Baraza Kuu CHADEMA

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Mkutano wa baraza kuu la Chadema unatarajiwa kufanyika leo huku Gazeti la Tanzania Daima lililo karibu na uongozi wa Chadema limeripoti kuwa kuna hujuma. Ni hujuma zipi?

838C3D19-4313-4396-B395-FD55F6798839.jpeg
 
Hakuna Hujuma! CHADEMA inajikaanga yenyewe! Asilimia 60 ya vijana wake mtandaoni ni watu wa matusi
 
Mkutano wa baraza kuu la Chadema unatarajiwa kufanyika leo huku Gazeti la Tanzania Daima lililo karibu na uongozi wa Chadema limeripoti kuwa kuna hujuma. Ni hujuma zipi?

View attachment 2220060
Hiyo inayodaiwa kuwa ni hujuma, tayari imeshadhibitiwa na uongozi wa juu wa chama. OVA
 
Hakuna Hujuma! CHADEMA inajikaanga yenyewe! Asilimia 60 ya vijana wake mtandaoni ni watu wa matusi
Naona umeingia mtego wa kibiashara.
Heading hiyo ni mbinu ya mauzo nyie mmeanza kujikaanga wenyewe
 
labda ujaelewa hujuma zilizofanyika na serikali ya ccm kwa chadema.
kufanya uviko -19 wale wabunge.
kutishia na kuonga wabunge wa chadema.
kumfungulia kesi mbowe.
na mambo mengi
 
labda ujaelewa hujuma zilizofanyika na serikali ya ccm kwa chadema.
kufanya uviko -19 wale wabunge.
kutishia na kuonga wabunge wa chadema.
kumfungulia kesi mbowe.
na mambo mengi
Ujaelewa... kuonga; is this swahili?!
 
Hakuna Hujuma! CHADEMA inajikaanga yenyewe! Asilimia 60 ya vijana wake mtandaoni ni watu wa matusi
Huwezi kukijaji chama kwa comment za vijana wa mitandaoni ambao wengi wao huwajui wana itikadi gani na wana malengo gani na chama.
 
Back
Top Bottom