Mbona mtoa comment kaandika kidogo ila umemtukana saana? Kwani ni dhambi mtu ku-wish kuzaliwa Nje ya nchi yake?Kama uwazavyo ndivyo ulivyo
Pole sana
Naona marinda kwishney
Ignored list yangu inakuhusu
Kafie huko zezeta la milele!
Imbecile mkubwa!
Hata ukinijibu sita soma
Mavi wewe!
Poa. Waambie washkaji zako. Waniweke kwenye ignore list kuliko kuniattack.Acha basi huku sio MMU
Jaribu kusoma mazingira kwanza
Wala sijasema ningependa kuzaliwa nje ya nchi. Wamechachawa tu. Kilomita ishirini toka nilipozaliwa ni wilaya ya Bagamoyo...Mbona mtoa comment kaandika kidogo ila umemtukana saana? Kwani ni dhambi mtu ku-wish kuzaliwa Nje ya nchi yake?
Bado swali langu linabaki pale pale.Wala sijasema ningependa kuzaliwa nje ya nchi. Wamechachawa tu. Kilomita ishirini toka nilipozaliwa ni wilaya ya Bagamoyo...
Majamaa yamekariri
Daby kaingia. Hizo sheria zako zinatisha, yaani matusi lazima yawe 'balanced' kutoka pande zote mbili? Fafanua tafadhali.Mbona mtoa comment kaandika kidogo ila umemtukana saana? Kwani ni dhambi mtu ku-wish kuzaliwa Nje ya nchi yake?
Ok sir. Ukijibiwa unistueBado swali langu linabaki pale pale.
Mbona unacheka Musee... Unamuandaestimeti mtukufu Magu?
Hivi sasa hapa kwetu Magu akisema linakuwa Andiko...
I wish ningezaliwa hapo 20km tokea home....
Sasa si uende kwani nauli huna? Unamuota JPM kwenye kila kitu hata ukijamba unamsingizia JPM.
Hahahaha mbavu zangu uwiii hahahaha
Blame your parents waliokosea kukuzaa out of hizo 20km!
Useless idiot.
Ukiwa msuluhishi uliyebobea utagundua wao wamemuanza huyu mzee aliyewish azaliwe km 20 kutoka alipozaliwa.Indeed
Btw, wasalimie Kajiado mie nakula mema za kote kote Huko kwa wajomba huku kwetu.[emoji124] [emoji124]Daby kaingia. Hizo sheria zako zinatisha, yaani matusi lazima yawe 'balanced' kutoka pande zote mbili? Fafanua tafadhali.
Hahahaa babu hatujafikia hatua ya kuwekana kwenye ignore list.20km kutoka home ni Bagamoyo. Na Bagamoyo ni Tanzania. Katiba inaniruhusu kwenda popote Tanzania ilimradi nisivunje sheria.
Siku nyingine usinishauri pa kwenda kwakuwa mi huwa sipangiwi...
Ukiona nakuboa unaweza kuniweka kwenye ignore list yako... sio kunipangia cha kuandika au kunichagulia kwa kwenda
Sawa kiongozi. Pamoja sana...Hahahaa babu hatujafikia hatua ya kuwekana kwenye ignore list.
Babu usinipangie kukuweka kwenye list yeyote.
"Mimi huwezi kunijibu hivyo wewe!"
"Mimi Sipangiwi...."
Zingatia alama za kunukuu maneno (funga na fungua semi).
Trust me amenianza yeye kunitusi!Mbona mtoa comment kaandika kidogo ila umemtukana saana? Kwani ni dhambi mtu ku-wish kuzaliwa Nje ya nchi yake?
Sawa jombaa ila kwa wajomba zako Kajiado sijafika siku nyingi. Mchepuko niliyekataa kupeleka ng'ombe kwao keshapanick ananitext maneno mawili tu , Logoonyaai kanyoo??? πππUkiwa msuluhishi uliyebobea utagundua wao wamemuanza huyu mzee aliyewish azaliwe km 20 kutoka alipozaliwa.
Btw, wasalimie Kajiado mie nakula mema za kote kote Huko kwa wajomba huku kwetu.[emoji124] [emoji124]
Oouh nilijua umeanza mwaka vibayaTrust me amenianza yeye kunitusi!
Anyway za mwaka mpya Daby?
Haha..Sawa jombaa ila kwa wajomba zako Kajiado sijafika siku nyingi. Mchepuko niliyekataa kupeleka ng'ombe kwao keshapanick ananitext maneno mawili tu , Logoonyaai kanyoo??? πππ
Uko freshi lakini? Hujaonekana hizi anga siku nyingi jombaa, hivi si wewe ndo nilikuona ukipigwa mnada kule Libya? 200 Dollars! Next! HahahahaπHaha..
nipo fresh kabisa. Majukumu tu nikukimbizana na kasi iliyopo.Uko freshi lakini? Hujaonekana hizi anga siku nyingi jombaa, hivi si wewe ndo nilikuona ukipigwa mnada kule Libya? 200 Dollars! Next! Hahahahaπ
Hapo sawa mkuu, majukumu lazima jombaa. Acha nikuache tu naona ndo sasa umeanza uchokozi.nipo fresh kabisa. Majukumu tu nikukimbizana na kasi iliyopo.
No.
Is not me. Nikitaka kwenda I always cross the right path.
zaidi tunaenda kuwa aviation Hub ni JNIA to AMS faster tu (just thinkng).
Ohhh no!