Tanzania Data Collectors at Compassion

Tanzania Data Collectors at Compassion

Mkuu Umesomesomea Nini na unakiwango kipi Cha elimu,na dini yako Ni ipi na una.uzoefu wa miaka mingapi ?

Hawa watu tabu Sana
Nina bachelor of business administration, mkristo, nina uzoefu wa kazi za sales nmetembea mikoa mingi, nimeshawahi fanya kazi za research pia
 
Back
Top Bottom