Tanzania Demoted back to LDC Status

TWENDENI SEYCHELLES TUKAONE UCHUMI WA KATI HUWA UNAFANANAJE? KAZI KWA VITENDO NA SIO KUONGEA TU
 
Yani umechinja mtu ukiwa umemuangalia usoni🤣🤣🤣👏👏👏Asanteee
 
Wacha ushabiki na kujitoa fahamu, Tanzania ni LDC. Tutaamini takwimu za IMF sio jamaa wa kijiweni tandale
Jibu swali, kama huna jibu basi piga kimya coz' it's not my style ku-argue bila takwimu kwa issue inayohitaji takwimu! Mada mmeleta wenyewe halafu bado mnashindwa kui-defend, nyie watu vipi bhana!
 
2021 economy ya Kenya itagrow by 4.7%×$100b

Tanzania 3.6%×$62b
Who's laughing now?
Hivi unafahamu maana ya forecast wewe?!

Eti ita-grow kwa 4.7%!!

Hapa tunazungumzia actual na sio forecast ambayo inaweza kuwa kama ilivyokuwa forecasted, juu ya hapo au hata kuwa chini ya hapo!!!

Mkiambiwa nyie watu ni vilaza, mnakataa!!!
 
Jibu swali, kama huna jibu basi piga kimya coz' it's not my style ku-argue bila takwimu kwa issue inayohitaji takwimu! Mada mmeleta wenyewe halafu bado mnashindwa kui-defend, nyie watu vipi bhana!!
GDP ya Tanzania ni below $1035 hukusoma report nini?? So Tanzania ni LDC
 
Hivi unafahamu maana ya forecast wewe?!

Eti ita-grow kwa 4.7%!!

Hapa tunazungumzia actual na sio forecast ambayo inaweza kuwa kama ilivyokuwa forecasted, juu ya hapo au hata kuwa chini ya hapo!!!

Mkiambiwa nyie watu ni vilaza, mnakataa!!!
Yea ata forecast zinaonyesha Kenya Iko mbele na Tanzania ni LDC
 
Yea ata forecast zinaonyesha Kenya Iko mbele na Tanzania ni LDC
Ndo maana nimekuambia hakuna ulijualo!! How come utambie forecast na kuacha actual data?!

Narudia, leteni mada za Kipchoge manake ndizo mnazoweza kuzijadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…