Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kimsingi ulisahau kuongeza neno per capita, lakini uko sawa tu.Kwani per capita inapatikanaje kama sio kwa kuanza na GNI?! Btw, ina maana unataka kujificha kwenye typing error kwa kuandika "per" badala ya "by" kama ambavyo nimeandika kwenye posts zangu zingine za nyuma?!