Hivi nyie Wakenya kwanini msingekuwa mnaleta mada kuhusu kukimbia nyikani labda angalau mnaweza kuwa na weledi nazo?!!
Nyie watu mnaonesha ni weupe sana na matokeo yake mada za kitalaamu hamzijui!!!
Look at, wakati hiyo Atlas Method uliyokariri, Data za World Bank zilikuwa Gross National Income (GNI) by Atlas Method, na wewe unaleta takwimu za Real GDP... vitu viwili tofauti!
Pili, hata ukizisoma hizo takwimu zinadhihirisha ni namna gani Mleta Mada na Wakenya wenzako mlivyo weupe kwa kushangilia msichokijua!! Look below:-
View attachment 1610142
Sasa kwavile elimu yenu huko Kenya imejikita kwenye kufundisha "How to BecomeKipchoge" na matokeo yake inashindwa hata kuwapa uwezo wa ku-interpret hata data nyepesi kama hizi, basi wacha niwarudishe darasani enyi Kizazi cha Kalumekenge!!!
1. Tanzania imeingia kwenye middle income countries kwa kutumia GNI by Atlas Method wakati hizo takwimu hapo juu ni Real GDP!!
2. Hizo takwimu hapo juu ambazo umeweka zinaonesha Annual Real GDP, ambapo Kenya inaonesha imekuwa by 1 Unit huku Tanzania imekuwa by 1.9 Unit!
Now tell me: NI nani hapo wameshuka kati ya TZ na KE?!!
On top of that, angalia na hizi takwimu hapa chini:-
View attachment 1610157
Ona takwimu ulizozileta kwa kurupuka bila kujua zinasema nini!!!
Utaona kupitia RED ni jinsi gani Kenya inavyoelemewa mzigo wa madeni ambayo ni 33.7% ya GDP yenu wakati Tanzania ni ONLY 28% ya GDP!!
Mbaya zaidi, hata akiba yenu ya fedha za kigeni ni duni compared to Tanzania as shown in BLUE ambapo your reserve can accommodate your imports of goods and services for ONLY 4.9 months wakati ile ya Tanzania for 5.2 Months!!
REMINDER: Muwe tu mnaleta mada za akina Kipchoge na zingine zisizohitaji matumizi ya Bongo kuzichambua kwa sababu hizi zinazohitaji Bongo, Jinsi walivyo na kichwa ngumu,nakuhakikishia mkuu hakuna hata mmoja aliyekuelewa,wote wametoka kapa😁