tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Utakesha babu nothing will changewacha bla bla mingi. ldc wewe
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakesha babu nothing will changewacha bla bla mingi. ldc wewe
I told people here that Tanzania has high chances of going back to LDC than Somalia having a second civil war.
Na wana madini kufa mtu hadi IMF wanajua. Kenya hakunaWanatia huruma sana Hawa.....
Sijui nini huwakwamisha.....tatizo wazembe sana.
Hahaha naona Covid-19 fatigue imewapunguzia uwezo wa kutambua mambo. Tangu lini IMF iliwahi ku classify TZ kama middle income country?Wanatia huruma sana Hawa.....
Sijui nini huwakwamisha.....tatizo wazembe sana.
I never knew how you hate us dearly!Na wana madini kufa mtu hadi IMF wanajua. Kenya hakuna View attachment 1610911
I have no reason to hate on any Danganyikan.I never knew how you hate us dearly!
Na wana madini kufa mtu hadi IMF wanajua. Kenya hakuna View attachment 1610911
Tatizo kubwa uzembe hata wa kusoma mikataba, hayo madini yanachumwa sana na mabeberu wakiwemo Wachina.....
Kwanza Wachina walishajua namna ya kuwatafuna hawa, wamejiingiza kwenye siasa za CCM za kuunga juhudi, yaani hapo kila kitu kinaachiwa kitafunwe tu.
![]()
[emoji23][emoji23]Tatizo kubwa uzembe hata wa kusoma mikataba, hayo madini yanachumwa sana na mabeberu wakiwemo Wachina.....
Kwanza Wachina walishajua namna ya kuwatafuna hawa, wamejiingiza kwenye siasa za CCM za kuunga juhudi, yaani hapo kila kitu kinaachiwa kitafunwe tu.
![]()
[emoji23][emoji23]
Mikataba imeandikwa kwa kingereza ndo maana
Smart kenyans are all extinct nowdays...Tanzania has been demoted back to an LDC country according to the Regional Economic Outlook Report published by IMF in October 2020.
The membership of countries reflects the most recent data on per capita gross national income (averaged over three years) and the World Bank, Country Policy and Institutional Assessment score (averaged over three years).
The middle-income countries had per capita gross national income in the years 2017–19 of more than $1,035.00 (World Bank, using the Atlas method).
The low-income countries had average per capita gross national income in the years 2017–19 equal to or lower than $1,035.00 (World Bank, Atlas method).
Na kanchi kenyewe 80% of the land is own by less than 10% of the total population...Ikiandikwa kwa kingereza, wao huomba wapi pa kutia saini, basi.
Haileti mantiki nchi yenye madini kuzidi mataifa mengi Afrika ishindwe kiuchumi na kainchi kama Kenya, tena kainchi kenyewe nusu yake ni kame tupu.
Wakati wa Janga la Corona,mlipiga kelele hivihivi,Ila baadae mkapotea,tatizo nyinyi mnakurupuka bila akili,l assure you,na hili mtakimbia tena!Mimi hapa nafahamu hawa wote majirani ni tope tu, Kenya imezungukwa na makajamba tunatunishiana na Nigeria, SA na Misri pamoja na Morrocco na Ghana.
Eti mido inkamu hahahah tope na ushuzi .
Fanyeni kazi kwa bidii kwanza mkifikia mafanikio wala hakutakuwa na atakaye kosa kuyaona.
Ikiandikwa kwa kingereza, wao huomba wapi pa kutia saini, basi.
Haileti mantiki nchi yenye madini kuzidi mataifa mengi Afrika ishindwe kiuchumi na kainchi kama Kenya, tena kainchi kenyewe nusu yake ni kame tupu.
Taja nyanja walizoitafuna TZ,mm naanza na ya kwenu,mtungi wa chang'aa😅😅Tatizo kubwa uzembe hata wa kusoma mikataba, hayo madini yanachumwa sana na mabeberu wakiwemo Wachina.....
Kwanza Wachina walishajua namna ya kuwatafuna hawa, wamejiingiza kwenye siasa za CCM za kuunga juhudi, yaani hapo kila kitu kinaachiwa kitafunwe tu.
![]()
DreamsSo Tanzania is still an LDC
utuambie kwanini mnajua kiingereza na bado mmepigwa na wachina wasiojua kiingereza[emoji28][emoji28][emoji28].