Tanzania Demoted back to LDC Status

Tanzania Demoted back to LDC Status

Wanatia huruma sana Hawa.....
Sijui nini huwakwamisha.....tatizo wazembe sana.
Na wana madini kufa mtu hadi IMF wanajua. Kenya hakuna
Screenshot_20201023-225306.jpg
 
Wanatia huruma sana Hawa.....
Sijui nini huwakwamisha.....tatizo wazembe sana.
Hahaha naona Covid-19 fatigue imewapunguzia uwezo wa kutambua mambo. Tangu lini IMF iliwahi ku classify TZ kama middle income country?

Sisi tuko classified na World Bank hio IMF ni kama saccos nyingine tu ambayo haina impact kwetu kwa sababu hatuna any businnes nayo.

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Na wana madini kufa mtu hadi IMF wanajua. Kenya hakuna View attachment 1610911

Tatizo kubwa uzembe hata wa kusoma mikataba, hayo madini yanachumwa sana na mabeberu wakiwemo Wachina.....
Kwanza Wachina walishajua namna ya kuwatafuna hawa, wamejiingiza kwenye siasa za CCM za kuunga juhudi, yaani hapo kila kitu kinaachiwa kitafunwe tu.

1206561_baloz.jpg
 
😂😂😂
Aha haaa haa
Wishful thinking.
Hivi unajua kwamba Kenya ilisha uzwa. Nyie wengine ni wapagazi tu nchini mwenu.
 
Tatizo kubwa uzembe hata wa kusoma mikataba, hayo madini yanachumwa sana na mabeberu wakiwemo Wachina.....
Kwanza Wachina walishajua namna ya kuwatafuna hawa, wamejiingiza kwenye siasa za CCM za kuunga juhudi, yaani hapo kila kitu kinaachiwa kitafunwe tu.

1206561_baloz.jpg
[emoji23][emoji23]
Mikataba imeandikwa kwa kingereza ndo maana
 
Ikiandikwa kwa kingereza, wao huomba wapi pa kutia saini, basi.
Haileti mantiki nchi yenye madini kuzidi mataifa mengi Afrika ishindwe kiuchumi na kainchi kama Kenya, tena kainchi kenyewe nusu yake ni kame tupu.
 
Mimi hapa nafahamu hawa wote majirani ni tope tu, Kenya imezungukwa na makajamba tunatunishiana na Nigeria, SA na Misri pamoja na Morrocco na Ghana.
Eti mido inkamu hahahah tope na ushuzi .
Fanyeni kazi kwa bidii kwanza mkifikia mafanikio wala hakutakuwa na atakaye kosa kuyaona.
 
Tanzania has been demoted back to an LDC country according to the Regional Economic Outlook Report published by IMF in October 2020.
The membership of countries reflects the most recent data on per capita gross national income (averaged over three years) and the World Bank, Country Policy and Institutional Assessment score (averaged over three years).

The middle-income countries had per capita gross national income in the years 2017–19 of more than $1,035.00 (World Bank, using the Atlas method).

The low-income countries had average per capita gross national income in the years 2017–19 equal to or lower than $1,035.00 (World Bank, Atlas method).

Smart kenyans are all extinct nowdays...
When did IMF promote Tz? It was World Bank and they have never said a damn thing of demotion...
I swear, Tz is a big dick and a pain in your ass, Wiggling in..!!!.
 
Ikiandikwa kwa kingereza, wao huomba wapi pa kutia saini, basi.
Haileti mantiki nchi yenye madini kuzidi mataifa mengi Afrika ishindwe kiuchumi na kainchi kama Kenya, tena kainchi kenyewe nusu yake ni kame tupu.
Na kanchi kenyewe 80% of the land is own by less than 10% of the total population...
 
Mimi hapa nafahamu hawa wote majirani ni tope tu, Kenya imezungukwa na makajamba tunatunishiana na Nigeria, SA na Misri pamoja na Morrocco na Ghana.
Eti mido inkamu hahahah tope na ushuzi .
Fanyeni kazi kwa bidii kwanza mkifikia mafanikio wala hakutakuwa na atakaye kosa kuyaona.
Wakati wa Janga la Corona,mlipiga kelele hivihivi,Ila baadae mkapotea,tatizo nyinyi mnakurupuka bila akili,l assure you,na hili mtakimbia tena!
 
Ikiandikwa kwa kingereza, wao huomba wapi pa kutia saini, basi.
Haileti mantiki nchi yenye madini kuzidi mataifa mengi Afrika ishindwe kiuchumi na kainchi kama Kenya, tena kainchi kenyewe nusu yake ni kame tupu.

utuambie kwanini mnajua kiingereza na bado mmepigwa na wachina wasiojua kiingereza[emoji28][emoji28][emoji28].
 
Tatizo kubwa uzembe hata wa kusoma mikataba, hayo madini yanachumwa sana na mabeberu wakiwemo Wachina.....
Kwanza Wachina walishajua namna ya kuwatafuna hawa, wamejiingiza kwenye siasa za CCM za kuunga juhudi, yaani hapo kila kitu kinaachiwa kitafunwe tu.

1206561_baloz.jpg
Taja nyanja walizoitafuna TZ,mm naanza na ya kwenu,mtungi wa chang'aa😅😅
 
utuambie kwanini mnajua kiingereza na bado mmepigwa na wachina wasiojua kiingereza[emoji28][emoji28][emoji28].

Itabidi nirejeshe ile avatar yangu, nilikua nimewapandisha chati kumbe bado mpo hovyoo....
 
Back
Top Bottom