Tanzania Demoted back to LDC Status

Tanzania Demoted back to LDC Status

Zigi Rizla

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
1,064
Reaction score
1,107
Tanzania has been demoted back to an LDC country according to the Regional Economic Outlook Report published by IMF in October 2020.
The membership of countries reflects the most recent data on per capita gross national income (averaged over three years) and the World Bank, Country Policy and Institutional Assessment score (averaged over three years).

The middle-income countries had per capita gross national income in the years 2017–19 of more than $1,035.00 (World Bank, using the Atlas method).

The low-income countries had average per capita gross national income in the years 2017–19 equal to or lower than $1,035.00 (World Bank, Atlas method).

Image.png
Untitled bnh.png
 

Attachments

We jamaa usituchoshe.

Demoted maana yake ni kushushwa. IMF haijawahi kutamka popote kwamba imeipandisha Tanzania. kwa hiyo nadharia ya neno lako demoted ni Mfu.

Walioipandisha Tanzania kuwa Middle income ni World Bank na hakuna mahali wameishusha.

Ni swala la muda tu hata hao IMF pamoja ma kupishana na serikali ya Tanzania mpaka kufurushwa baadhi ya watu wao, watarekebisha makaratasi yao.

Leo ndio naelewa ni kiasi gani Tanzania kuwa Middle income huwa inawachoma mpaka kwenye ventricle za mioyo yenu.
Sasa jiandaeni kupata heart attack maana huku moto ndio ushawaka na speed ni ya SGR "ya umeme". Sema "YA UMEME!✓"
 
Kweli nimeamin wapuzi wakikunya wameumia snaaa. Sasa tulizeni kende zenu dawa haija ingia badooo mpka mumkumbuke nyanya yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi nyie Wakenya kwanini msingekuwa mnaleta mada kuhusu kukimbia nyikani labda angalau mnaweza kuwa na weledi nazo?!!

Nyie watu mnaonesha ni weupe sana na matokeo yake mada za kitalaamu hamzijui!!!

Look at, wakati hiyo Atlas Method uliyokariri, Data za World Bank zilikuwa Gross National Income (GNI) by Atlas Method, na wewe unaleta takwimu za Real GDP... vitu viwili tofauti!

Pili, hata ukizisoma hizo takwimu zinadhihirisha ni namna gani Mleta Mada na Wakenya wenzako mlivyo weupe kwa kushangilia msichokijua!! Look below:-

GDP!.png


Sasa kwavile elimu yenu huko Kenya imejikita kwenye kufundisha "How to BecomeKipchoge" na matokeo yake inashindwa hata kuwapa uwezo wa ku-interpret hata data nyepesi kama hizi, basi wacha niwarudishe darasani enyi Kizazi cha Kalumekenge!!!

1. Tanzania imeingia kwenye middle income countries kwa kutumia GNI by Atlas Method wakati hizo takwimu hapo juu ni Real GDP!!

2. Hizo takwimu hapo juu ambazo umeweka zinaonesha Annual Real GDP, ambapo Kenya inaonesha imekuwa by 1 Unit huku Tanzania imekuwa by 1.9 Unit!

Now tell me: NI nani hapo wameshuka kati ya TZ na KE?!!

On top of that, angalia na hizi takwimu hapa chini:-

Debt.png


Ona takwimu ulizozileta kwa kurupuka bila kujua zinasema nini!!!

Utaona kupitia RED ni jinsi gani Kenya inavyoelemewa mzigo wa madeni ambayo ni 33.7% ya GDP yenu wakati Tanzania ni ONLY 28% ya GDP!!

Mbaya zaidi, hata akiba yenu ya fedha za kigeni ni duni compared to Tanzania as shown in BLUE ambapo your reserve can accommodate your imports of goods and services for ONLY 4.9 months wakati ile ya Tanzania for 5.2 Months!!

REMINDER: Muwe tu mnaleta mada za akina Kipchoge na zingine zisizohitaji matumizi ya Bongo kuzichambua kwa sababu hizi zinazohitaji Bongo, mara kwa mara huwa zinawa-backfire kwa sababu huwa hamjui mnajadili nini!!!
 
Back
Top Bottom