Tanzania deports east African migrants

Tanzania deports east African migrants

Bitter pill

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
917
Reaction score
781
Tanzania deports East African immigrants

TUESDAY JANUARY 9 2018

The Tanzania-Kenya border at Namanga. Tanzania launched a crackdown on illegal immigrants in 2017. FILE PHOTO | NMG

Tanzania has ordered more than 100 foreigners to leave the country immediately. The Kilimanjaro Immigration Office in northern Tanzania said 94 aliens would only be allowed back if they follow the law.

They include 71 Kenyans, seven Rwandans, seven Congolese, five Ethiopians, two Ugandans, a Somalia and a Nigerian.

“We discovered that some immigrants entered the country in 1972 and had been living [here] unlawfully. We sent them back to their countries and if they intend to return to Tanzania they should follow procedures,” Mr Albert Rwelamira, the Kilimanjaro Immigration boss, said.

He said many of the aliens were married to Tanzanians.
The Immigration office also declared 23 others prohibited immigrants.

RELATED CONTENT

Tanzania's one month ultimatum to foreignersStorm as Kenya deports Tanzanian traders

Speaking to journalists in Moshi on Tuesday, Mr Rwelamira said the crackdown on illegal immigrants was launched last year.

READ: Tanzania turns the heat on illegal immigrants

He said the 23 were found to be criminals and include eight Ethiopians, seven Bangladeshis, five Kenyans, a Burundian, Ugandan and Nigerian.

Tanzania aresident
ded 3,681 migrants with resident identifications.

Hii habari imekaa kishabiki sana,waliofukuzwa sio wakutoka Afrika mashariki tu.
 
Wengi ni kutoka Kenya hii haileti Picha nzuri ya mahusiano yetu na Kenya na hasa baada ya Kenyatta kutangaza kuwa anawakaribisha waafrika wote kwenda kuishi na kufanya kazi Kenya bila masharti
 
Naipenda serikali ya Kenya sana huwa hawakurupuki kwenye mambo ya diplomacy...... Nimefanya biashara pale gikomba na kujuana na watanzania wengi sana na 95% yao hawakua na documents. Cha kushangaza kwa hizo miaka miwili nimekua hapo hamna siku nimeona wamehangaishwa na polisi au wakenya
 
Sio kweli, serikali ya kenya imefukuza watz Mara nyingi tu,upo ushahidi ukitaka.hata hapo gikombaa huchomwa Mara kwa Mara kwa sababu kuna watz Mara wengi.
 
Kwahiyo unasupport watu kuishi bila kufuata sheria za nchi? ndiyo sababu Kenya mnaongoza Africa for insecurity, nchi gani ambayo inashindwa kusimamia sheria zake, ninakuhakikishia kama unayosema ni kweli, basi hao watanzania wanatoa rushwa kwa polisi na immigration officers wenu, polisi wa Kenya are too corrupt, inakuwaje mnawatafuta Somalis hadi katika majumba na kuwabaka na kuwajaza Kasarani na kuwarudisha kwao lakini Tanzanians wasio na documents mnawaacha?
 
Wengi ni kutoka Kenya hii haileti Picha nzuri ya mahusiano yetu na Kenya na hasa baada ya Kenyatta kutangaza kuwa anawakaribisha waafrika wote kwenda kuishi na kufanya kazi Kenya bila masharti

Hayo ni maeneo ya Kilimanjaro ambayo yapo karibu na Kenya, hivyo kuna uwezekano mkubwa ukakuta Wakenya kuwa wengi zaidi ya watu wa mataifa mengine, na pia upande wa pili ndani ya Kenya utakuta kuna Watanzania wengi, ni kama vile ukienda Kigoma utategemea Warundi wawe wengi.

Japo pia nawashangaa ndugu zangu Wakenya wanaong'ang'ania kuishi kwenye nchi yenu hiyo, hii inafaa iwaingie kwamba ukienda kuishi kwenye nchi yenye chuki chuki na majungu, hakikisha stakabadhi zako zote zimekaa sawa
- Hakikisha umesajiliwa na ubalozi wa kwenu (hawa husaidia sana wakati unanyanyaswa)
- Hakikisha umepata vibali vyote, residential permit and work permit
- Hakikisha unaye wakili wako anayefahamu fika masuala ya uhamiaji

Naomba Wakenya tuendelee kuwa wakarimu kwa hawa watu wao waliojazana huku wakiwemo wale omba omba wao, tusilipize chuki kwa chuki.
 
Sio kweli, serikali ya kenya imefukuza watz Mara nyingi tu,upo ushahidi ukitaka.hata hapo gikombaa huchomwa Mara kwa Mara kwa sababu kuna watz Mara wengi.

Tumia ubongo kuandika, unafikiria kama tungekua wenye chuki kama nyie na tuwe na haja ya kuwafukuza hawa maelfu ya Watanzania kutoka Gikomba ingetuchukua zaidi ya siku moja? Hatungepoteza muda wa kuwachomea maduka, wanakusanywa tu mchana peupe na kuondolewa.
Lakini nchi yetu inatambua umuhimu wa kuwaachia wajasiria mali wachakarike, uwepo wa wageni wajasiria kutoka Somalia, Tanzania na kwengineko kunachangia pakubwa kwenye ukuaji.
Jirani yangu hapa Mtanzania amejenga apartments nzuri sana na tayari zimepata wapangaji, hivi ndio njia za kukuza uchumi, sio kuendeshwa kwa mihemko ya chuki.
 
Kwa hiyo unataka kuniambia hakuna MTZ ambaye hajawahi kuwa deported kenya?
 
Mimi ninashangazwa sana na mtu anayeshabikia watu wanaovunja sheria na taratibu za nchi, nchi isiyofuata sheria na taratibu walizojiwekea inakuwa a failed state watu hawajui nini kitatokea kesho na keshokutwa, watu watdhulimiwa au hata kuuliwa bila hatua za kisheria kuchukuliwa, bado ninaamini hao watanzania wanaoishi na kufanya biashara Kenya wanaishi kisheria na kufuata taratibu zote za Kenya, kama hawafuati na.serikali inajua lakini.haichukui hatua kwa kisingizio.cha ujirani mwema, basi wale.wanaoitaja Kenya kuwa ni miongoni mwa failed states duniani watakua hawajakosea
 
Hayo ni maeneo ya Kilimanjaro ambayo yapo karibu na Kenya, hivyo kuna uwezekano mkubwa ukakuta Wakenya kuwa wengi zaidi ya watu wa mataifa mengine, na pia upande wa pili ndani ya Kenya utakuta kuna Watanzania wengi, ni kama vile ukienda Kigoma utategemea Warundi wawe wengi.

Japo pia nawashangaa ndugu zangu Wakenya wanaong'ang'ania kuishi kwenye nchi yenu hiyo, hii inafaa iwaingie kwamba ukienda kuishi kwenye nchi yenye chuki chuki na majungu, hakikisha stakabadhi zako zote zimekaa sawa
- Hakikisha umesajiliwa na ubalozi wa kwenu (hawa husaidia sana wakati unanyanyaswa)
- Hakikisha umepata vibali vyote, residential permit and work permit
- Hakikisha unaye wakili wako anayefahamu fika masuala ya uhamiaji

Naomba Wakenya tuendelee kuwa wakarimu kwa hawa watu wao waliojazana huku wakiwemo wale omba omba wao, tusilipize chuki kwa chuki.
Hii ni oversight, sidhani kama ni sera ya nchi, nadhani ni sera ya chama tawala au ya mtu, wa-Kenya ni majirani zetu. Mahusiano mazuri kati ya majirani ni jambo la kulitunza. Ni kipindi cha mpito i bet some of these extreme measures are taken out of ignorance.
 
'Many of the aliens are married to Tanzanians. They have been living in Tz since 1972.' Wazazi wa watoto wenu hao, lazima hapo kuna wale wanaoitwa Babu au Bibi na watoto wa 'kitz'. Kweli, nimekubali Tz ndo kichwa cha mwendaazimu.
 
Back
Top Bottom