TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Unadhani hii ni awamu ya walopita ??? Hii ni ya Magufuli na hakuna wenye nchi zaidi ya watz wote subiri tu maumivu budaMsihangaike kushangilia kwakuwa hamtaonja chochote ihusuyo gesi. Yote huishia kwa wenye nchi watawala wenu
Teh!Unadhani hii ni awamu ya walopita ??? Hii ni ya Magufuli na hakuna wenye nchi zaidi ya watz wote subiri tu maumivu buda
Acha siasa angalia uhalisia c wengne hatuna vyama ila tunatumia macho kuona kinachoendelea na kujudge kwa utashi wetu..Teh!
Ni wale wale, chama kilekile. Kwasasa anataka aue upinzani ili ikifika saa ya kula kusiwe na mbwa anaebweka... Atakuwa mpole baada ya uchaguzi atafanana na watangulizi wake. Lakini mwishowe mtagundua jk alifanya kazi kubwa nchi hii
Pamoja na nigeria kuwa na mafuta ni kipindi cha muda gani ilichukua hadi kuipiku South Africa kwa Gdp ???...Hivi haya mavitu huwa mnagundua kila siku kwenye hilo shamba la bibi yanaishiaga wapi maana bado mpo maskini wa kutupwa, hambadiliki kitu, siku zote mpo mpo tu.
Tatizo huwa nini haswa, nakumbuka gesi mlitupigia makelele humu mpaka nikadhani mtaongoza Afrika kiuchumi ndani ya mwaka mmoja, mara tukaambiwa Mtwara itakua city, leo hii kimyaaaaa.
Muulize prof Muhongo,akikujibu unitag,wimbo wake ulikuwa ni uchumi wa gas
Inatusaidia kuondoa njaa, kwani vipi?What are important use of these huge minerals???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi haya mavitu huwa mnagundua kila siku kwenye hilo shamba la bibi yanaishiaga wapi maana bado mpo maskini wa kutupwa, hambadiliki kitu, siku zote mpo mpo tu.
Tatizo huwa nini haswa, nakumbuka gesi mlitupigia makelele humu mpaka nikadhani mtaongoza Afrika kiuchumi ndani ya mwaka mmoja, mara tukaambiwa Mtwara itakua city, leo hii kimyaaaaa.