Sista Horn Kombe Masufuri
JF-Expert Member
- Sep 19, 2018
- 450
- 119
Niliitazama interview yake pale YouTube akisimulia yaliyojiri. Haki madaktari wakati mwingine wanaweza ua mgonjwa kwa mshtuko. Alipoenda Mombasa gavana joho ndiye alimsaidia alipoona anapata taabu kumeza .Maajabu walifanya oral examination au ilikua ni through hx taking only?
Negligence ni kitu mbaya sana