Tanzania Economy to Surpass Kenya and Ethiopia by 2030

Tulikua far behind you guys with just 29bln in 2009 2010 but we tripled our economy to 63bln today 2019. Kaongelea hzo achievent za infrastructure na mambo mengine ambayo tulikua tunaona kwe tv but now its a dream come true, hajaikosoa kenya wala ethiopia ila kaona maendeleo ya kasi ya tz. Kama Tz inakua then east africa inakua vlevle no need to hate each other kisa maendeleo. Nyie mpo juu yetu tunafahamu ilo ila point n kwamba tulikua nothing compared to you lakn sashv we are about to overtake you. Kwanini uumie?
 
Kaa ukkijua tutawaovertake very soon
The thing is Kenya's Economy will be 3 times bigger than Tanzania's and Uganda's will have overtaken Tanzania
 
Hawa wakenya wakaangalie hiyo video kisha wasome comment za wakenya wenzao 😂😂😂
Hawa wa jf ni kuwaminya mute button tu.
 
The thing is Kenya's Economy will be 3 times bigger than Tanzania's and Uganda's will have overtaken Tanzania
Ondoeni ufisadi,muwakumbuke masikini wanaoishi kwenye slums mtakua sawa
 

We huna akili hata kidogo ulitegemea TISS wamteke uyo mkulima wakati anaenda Canada...au unafikiri TISS wana makao yao Canada...kuna watu vilaza sana
 
Ondoeni ufisadi,muwakumbuke masikini wanaoishi kwenye slums mtakua sawa
The most corrupt country right now is Tanzania.....The least developed country in the world
 
Wao uchumi wao ni matured yani unakua kwa rate ndogo sana, uchumi wetu sis ni developing yani tunazidi kupanda day after day kwa rate kubwa ndo mana tumeweza kutriple GDP ya 2009 kwa miaka kumi, which means tumefanikisha hayo kwa mambo ya kawaida tu ya uzalishaji na kilimo coz tulikua tuna miundombinu mibovu mno, so ku-invest katika infrastructures kama anavofanya mzee magu sasahvi.

Uchumi wetu unaeza kua mara nne zaidi kwa miaka kumi ijayo, faida za kuinvest kwenye infrastructures tutaziona baadae mayb kuanzia mwakani tutapoanza tumia SGR na hizi reli zilizokua hazitumiki za kwenda tanga Moshi na Arusha, kukamilisha barabara kuu zote za lami, matumizi ya usafir wa anga, kukua kwa usafiri wa maji kama tunavotengeneza meli za mizigo na abiria kila kukicha, upanuzi wa bandar ya Dar na Mtwara, bado ujenzi ya port ya Bagamoyo bila kusahau ujenzi wa mahospitali na mashule ya kisasa katika kila mkoa au 2021 ambapo mayb tutakua tumekamilisha kila ki.

In short tunafanya mengi mnoo ndo mana nahisi mwaka 2021 to 22 uchumi utakua mbali mno mayb 90blns to 100blns uko [emoji13][emoji38][emoji38] mana mzee wetu kila siku anatupa sapraiz sijui ana lengo la kutufikisha wap?
Hawa wakenya wakaangalie hiyo video kisha wasome comment za wakenya wenzao [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa wa jf ni kuwaminya mute button tu.
 
29 x 3=87 how have you trippled ?
Infact Kenya was at 37 billion dollars while you were at 29 a difference of 8 billion while right now gap imepanuka to more than 30billion dollars.🤣🤣
 

Uchumi Matured?
 
Gdp gap btwn Kenya and Tz in 2009 was 8 billion dollars while in 2019 it's at 36 billion
 
More developed economies have a relatively higher cost of living. A Tanzanian can work for a lower pay than Kenyan.
We are no longer at the dirt poor stage.


Lkn Kenya ni low income country statistically haina tofauti na TU
 

Bro tell me, how knowing to speak English will make Tanzania greater?
 

Bro tell me, how knowing to speak English will make Tanzania greater?
 
Reactions: Oii


Kenya haina matured economy, bado ni low income developing country, hata haina uwezo wa kujilisha inapata food aid halafu unaongelea matured economy? Hiyo ni Elimu ya Kariobangi na bangi nyingi.
 
Bro tell me, how knowing to speak English will make Tanzania greater?
its the language of global commerce.. even the chinese have to make machine manuals translations for English..
 
Umeongelea vitu mingi sana kuhusu infrastructure. kwa hizo vitu zote uluzotaja, niambie ni gani haifanyiki kenya. Kisha umeongea kuhusu Tanzania kutriple GDP in ten years, can you show us in simple arithmetic how that has happened using figures of 2009 and current figures. And lastly, how do you intend to overtake Kenya when the gap between us and you is getting bigger each year? The gap between Kenya and Tanzania was $9 billion dollars in 2009, today the gap stands at $37b. Does this tell you something?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…