Wao uchumi wao ni matured yani unakua kwa rate ndogo sana, uchumi wetu sis ni developing yani tunazidi kupanda day after day kwa rate kubwa ndo mana tumeweza kutriple gdp ya 2009 kwa miaka kumi, which means tumefanikisha hayo kwa mambo ya kawaida tu ya uzalishaji na kilimo coz tulikua tuna miundombinu mibovu mno, so kuinvest katika infrastructures kama anavofanya mzee magu sasahvi, uchumi wetu unaeza kua mara nne zaidi kwa miaka kumi ijayo, faida za kuinvest kwenye infrastructures tutaziona baadae mayb kuanzia mwakani tutapoanza tumia sgr na hzi reli zilizokua hazitumiki za kwenda tanga moshi na arusha, kukamilisha barabara kuu zote za lami, matumizi ya usafir wa anga, kukua kwa usafir wa maji kama tunavotengeneza meli za mizigo na abiria kila kukicha, upanuzi wa bandar ya dar na mtwara, bado ujenz ya port ya bagamoyo bila kusahau ujenzi wa mahospitali na mashule ya kisasa katika kila mkoa au 2021 ambapo mayb tutakua tumekamilisha kila kitu, inshort tunafanya mengi mnoo ndo mana nahisi mwaka 2021 to 22 uchumi utakua mbali mno mayb 90blns to 100blns uko [emoji13][emoji38][emoji38] mana mzee wetu kila siku anatupa sapraiz sijui ana lengo la kutufikisha wap?