Tanzania Economy to Surpass Kenya and Ethiopia by 2030

Kitu usichokijua kuhusu uchumi ni hiki value of money sasa $1 USA dollar iliyopo serikalini Tz inafanya mambo makubwa mara 3 ya $1dollar ilivyopo Kenya.
Exactly, we call it IRR
 
Wanatengeneza bidhaa labelling and marketing ndio wanatumia English, Ni issue ndogo tu
Well Tz tunasoma kingereza lakin mtaani hukuti mtu anaongea iyo lugha! Tunatumia kisw
Official documents and teaching materials are all written in English but it doesn't change us at all,we r proud with our kiswahili
 
As of 2019, Kenya had an estimated GDP of $99.246 billion[13] and per capita GDP of $2,010
that was divided by 52 million Kenyans, si by the real 47 million Kenyans, that means its above 2010
Bado ni low economy tofaut na Tz Ni distance ya pua na upperlip
 
Siongelei hizo bilion mzee naongelea rates za ukuaji wa uchumi, unafika sehem uchumi unakua kidg mno, mbna usa wana Trilion kadhaa huko lakn uchumi wao unakua kwa only kwa rate ya 1% or 2%? Kwasababu uchumi wao upo katk pik haukui zaid ya hapo, ndo kama kenya uchumi wao umeganda kwenye 5% for a long time now bila kuongezeka, yani zaid labda ushuke 4% akat wa tz bado unaongezeka kila kukicha from 4 to 5 to 6 to 7 to 7.1 today unaeza ona rate za uchumi wetu ni growing ila wao umestak kiuchumi tunaita matured economy yani upo kwenye peak haukui tena, kumbuka siongelei mahela hayo ama maendeleo but rate za ukuaji. Achana na hzo pesa rudi kwenye rate ya uchumi unavokua na kama umesoma uchumi utaelewa matured namaanisha nin na nikisema growing namaanisha nn
Kwaiyo gdp ya bn65$ na watu milioni 50 ni Matured economy to you?
 
Dah natumia nguvu kuelekeza lakn hamuelewi, mim siongelei kenya kuwa ni developed country mzee, ila katika kukua kwa uchumi, inafika sehem rate ya ukuaji inasimama haiongezeki tena, kenya wamestak 5% kwa muda sas then wanadrop to 4 then wanapanda 5 then 4 yani wameganda hapo tu, achana na hzo blns of pesa mi sizungumzii hzo ila rates za ukuaji, tofaut na sis tulikua4 then 5 then 6 then 6.6 then 7 then 7.1, uchumi wetu ni growing ila wao umefika mahala haukui tena umestak kwe 5 tu kiuchumi tunaita matured mzee ila haimanishi wao ndo wanauchumi bora bali zile rate ndo nazungumzia hapa
 

This is dumb af
 
Reactions: Oii
Hao Jamaa wameganda na deni linapanda.
Yaani ni full cosmetics lakini uhalisia hawana lolote.

Hivi nikiangalia REA walivyofanya kazi kubwa kugawa umeme, Nikicheki Jinsi masoko ya dhahabu yanavyoleta pesa, Nikiangalia magawio ya msharika ya umma, JNIA T3 na ATCL ilivyokaba koo ktk utalii, nikiangalia SGR itakavyoshusha gharama za usafirishaji, funga kazi iko Nyerere waterfalls yaani watakonda na mawazo....
 

Nimekuelewa sana ila nafikiri unachanganya mambo, kwa nchi ambazo ni developed kama Japan, EU, USA & Co. ni ngumu sana hata kupata hata tu 2% economic growth, lkn kwa nchi masikini ambayo ndiyo kwanza inaendelea kukuwa kwa 5% hakutokani na kukomaa kwa Uchumi bali ni kwa nchi husika kushindwa kukua zaidi labda kwa sababu ya sera, skills, upatikanaji wa nishati ya kutosha, corruption, miundombinu n.k.

Hivyo kwa kifupi Kenya au hata TZ tuna nafasi ya kukuwa hata kwa 20% kama tukijipanga, lkn nchi kama Japan akipata 5% Dunia nzima itashtuka, kwani ni ngumu sana kwa developed economy kukuwa kwa kasi kwa sababu karibia kila kitu kipo, sasa growth itatokea wapi?

Lkn kwa nchi kama Kenya/TZ kuna mengi sana bado hayajafanywa hivyo kukuwa kwa 5% ni ndogo sana na ndo maana unaona wengi hawaoni tofauti kwa sababu uchumi haukuwi kwa kiasi cha kuweza kuwafikia, ...
 
Acha kuwa mbishi.. kinacho fanya uchumi wa Kenya to grow at a decreasing rate is not economy maturity. Kenya ina fursa ya kukua ata kwa 15% kwa miaka 30 ijayo, uongozi wao tu una matatizo.
 
Yeah bro bora umenielewa ila hyo matured nimeiweka tu kuonesha kuwa uchumi wao umeganda coz ndyo sifa ya matured rate,pia ni kweli unaeza kupanda zaid ya hapo wakifanya progress zngne ila for now coz ni kama miaka mi 5 sas wameganda hapo mi sio mbaya kuita matured mayb am wrong ila afadhali umenielewa nichokua najarbu kuelezea
 
Nyie hamjulikani idadi yenyu.

BTW, nawapa hongera sana majirani. Upande wa mawasiliano na simu kwenyu hapo naona hadi watoii wanakuwanga nazo. [emoji28][emoji28]
Wewe unayejua idadi yetu kamili si ungetuambia tuko wangapi!? 😂
 
Hao jamaa ni watu wasiojielewa,Kingereza mnachoongea bado per capita haifiki 2000 ,Japan wala hawajui kingereza per capita $35000
Kenya's per capita is $2,010. Tanzania's per capita is $1,090. And you still want to overtake us "soon"! Number yetu mtaendelea kusoma tu ndugu zetu
 
Bro kuwa na matured economy haimanishi kuwa ndo wapo developed ama wanaboonge la uchumi, No. Ni kwamba uchumi wao umefika mahali ambapo haukui or unakua kwa rate ndogo mno, yani wamefika kwenye pik then diminishing
Uchumi wetu haukui tu kwa akili zako ila kwa ground vitu ni different. Ten years ago, the gap between Kenya and Tanzania was a mere $9b. Just ten years later it's $37b. How big do you think the gap will be in the next decade? If you didn't overtake us during that time when the gap was relatively small, then you'll never ever do that. And then you open your big mouth to talk about Kenya's economy growing at a much lower rate. You even had the audacity to include the word diminishing in your comment. Do you even know the meaning of the word "diminish"?
 
Hayo mambo ulizotaja ni kipi Tanzania imefanikiwa kufanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…