babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Eti mko na uwezo wa kulipa 😂😂😂Tunakopa kwa sababu tuko na uwezo wa kulipa. Hatungekuwa na huo uwezo hatungekuwa tunapewa mikopo in the first place. Sisi sio kama nyinyi nchi LDC inasamehewa madeni na wala hatushindwi kulipa deni za Shilingi mbili hadi ndege zetu zikamatwe. Hatuko ligi moja kaka braza!
Tulikua far behind you guys with just 29bln in 2009 2010 but we tripled our economy to 63bln today 2019. Kaongelea hzo achievent za infrastructure na mambo mengine ambayo tulikua tunaona kwe tv but now its a dream come true, hajaikosoa kenya wala ethiopia ila kaona maendeleo ya kasi ya tz. Kama Tz inakua then east africa inakua vlevle no need to hate each other kisa maendeleo. Nyie mpo juu yetu tunafahamu ilo ila point n kwamba tulikua nothing compared to you lakn sashv we are about to overtake you. Kwanini uumie?
We unaongelea dsm. Wapo kibao, na zaidi ya 50km.Tanzania kuna daily commuters wanaishi 50km toka Dar es salaam??
Ttihihhi,,umejisatitiWe unaongelea dsm. Wapo kibao, na zaidi ya 50km.
Watu wanaishi arusha wanafanya kazi moshi, and viceversa. 80km
At one point ilikua ni by 2022Sio mimi, ni Mkenya Mwenzenu kasema.
Kujiliwaza tuu kama ndugu yako geza unoeWe unaongelea dsm. Wapo kibao, na zaidi ya 50km.
Watu wanaishi arusha wanafanya kazi moshi, and viceversa. 80km
As usual, ujinga ujinga tu. Hivi umeelewa maana ya hiyo taarifa? Hivi hii lugha unayojitapa nayo mbona bado ni tatizo kwako? Umeelewa maana ya hiyo statement?First, I would like to correct you. Our population is 49 million people, not 47 million people as you say here. Secondly, I would just like to remind you that you have an average mind just like your fellow Tanzanians here and everywhere else. You don't stop for a second to to reason or think beyond your noses.
There's something called "double registration" In short mtu anaweza kumiliki laini mbili au tatu ama hata zaidi ya Safaricom and at the same time ako na zingine za Airtel or Orange all registered. When CAK compiles data, it compiles the number of "subscribers" not the number of people who own mobile phones. Personally, I have two Safaricom lines and an Airtel line, all of them active. Does that make me "three people" at the same time? Under CAK data, Al these three lines that I own are listed as subscribers but the fact is that they are owned by one person. I know it's a bitter pill to swallow but the fact remains that mobile phone penetration in Kenya is higher than any other country in EA. Ugua pole
Kilichobaki ni kuwafurusha waende mbali nasiTumewapiga hawa devil worshippers kwa kila kitu...ni nini kingine kimebaki
Hahaha... Angalau napata faraja sasa somo limeanza kukuingia.Kilichobaki ni kuwafurusha waende mbali nasi
Buda, msikimbilie uchagoo huko sasa.. It's time to swallow your pride and watch and learn from babalao Tz.Mjinga ni wewe, nyanyako, babako na watu wenu wote wasiokuwa na uelewa wa vitu rahisi kama hizi [emoji23] [emoji23]
Hata Rwanda hamjafikia,liwe Kenya???Hahaha... Angalau napata faraja sasa somo limeanza kukuingia.
Buda, msikimbilie uchagoo huko sasa.. It's time to swala your pride and watch and learn from babalao Tz.
Hahaha... Angalau napata faraja sasa somo limeanza kukuingia.
Buda, msikimbilie uchagoo huko sasa.. It's time to swallow your pride and watch and learn from babalao Tz.
Ww endelea kujiliwaza Tz is lagging behindKujiliwaza tuu kama ndugu yako geza unoe
Ww endelea kujiliwaza Tz is lagging behind
Ww endelea kujiliwaza Tz is lagging behind
Ni sawa sawa mtu asimame mpakani mwa tz na Kenya kisha aseme Kenya ipo umbali wa mita 1 kutoka Tanzania na mwingine aliye simama umbali wa mita 4 apinge na kusema Kenya ipo umbali wa mita 4 na mwingine aliye simama umbali wa mita 40 awapinge wote na kusema Kenya ipo umbali wa mita 40 ilo ndilo tatizo la kubishana na wajingaChanika iko less than 18km toka Dar wacha uongo.
Huo umbali nikama kwenda Githurai apa Nairobi. Huko nauli ni hadi sh10
Ooh i forgot Dar metro aint that big
World Bank na IMF na other organisations had estimated Kenyan population at around 52 million, that gdp per capita was divided by 52 million kenyansBado ni low economy tofaut na Tz Ni distance ya pua na upperlip