Tanzania Economy to Surpass Kenya and Ethiopia by 2030

Tanzania Economy to Surpass Kenya and Ethiopia by 2030

2009 GDP, Kenya ilikua $37B Tanzania $28B ... Tofauti ilikua tumewaacha na $9B
View attachment 1272287

Nakumbuka enzi hizo mwaka wa 2008 kuna taarifa ilikua inasema Tz itaipiku Kenya by 2021!!!

miaka kumi baadae 2019 GDP, Kenya $98B Tanzania GDP $62B .. Tofauti $36B!!! gap inazidi kupanuka

View attachment 1272294

Projections za GDP by IMF hadi 2024 , Kenya $154B.. Tanzania $92B.... Gap itakua ni $62B sawa na GDP yenu yote ya mwaka huu 2019

View attachment 1272300
2024 ni miaka 6 kabla 2030

Alafu eti kulingana na nyinyi, ikifika 2030 mtakua mmeregesha hio gap hadi kutushinda kiuchumi 😂😂😂

Source https://www.imf.org/external/datamapper/NGDPD@WEO/KEN/ETH/RWA/TZA/UGA

at one point tulishawaambiaga kuhusu report za IMF na WORLD BANK hazina facts zenye mashiko rather ni figures tu: here is what i read today about your country imports and exports

Nairobi’s imports from the rest of the EAC member states grew by 14.7 per cent to $676.5 million, largely driven by higher food purchases from Uganda and Tanzania.
Imports from Uganda were mainly milk, dry beans and raw materials for the preparation of animal feeds while imports from Tanzania mainly consisted of paper and paperboard, and ceramic products.
On the other hand, other EAC member states made significant improvement on trade with the EAC bloc, according to the report.
Exports from Tanzania, Burundi and Rwanda grew by 9.5 per cent, 44.3 per cent and six (6) per cent in 2018 compared to declines of 15.9 per cent, 6.5 per cent and 46 per cent in 2017 respectively.
The growth in Uganda’s exports declined to 11.4 per cent from 58.4 per cent while that from South Sudan fell by 88.8 per cent.

ukiachana na hili, we are already ahead of you guys in so many sectors: , mfano toursim hata ukijumlisha Kenya + uganda wote kwa pamoja mapato yenu bado mpo behind Tz: its fair to say, IMF and WORLD BANK cant be trusted:

at one point they did claim Kenya shilling is 30% over valued, better stick with what the government has

source: Why Kenya is losing position as region's exports powerhouse
 
after all, whether the economy is growing or slowing it does really matters to us Tanzanians: some people are building their lives just because of Kenya - Tanzania relationship, same to Kenyans: it has even gone much further into marriages: growing together will make more sense:
 
at one point tulishawaambiaga kuhusu report za IMF na WORLD BANK hazina facts zenye mashiko rather ni figures tu: here is what i read today about your country imports and exports

Nairobi’s imports from the rest of the EAC member states grew by 14.7 per cent to $676.5 million, largely driven by higher food purchases from Uganda and Tanzania.
Imports from Uganda were mainly milk, dry beans and raw materials for the preparation of animal feeds while imports from Tanzania mainly consisted of paper and paperboard, and ceramic products.
On the other hand, other EAC member states made significant improvement on trade with the EAC bloc, according to the report.
Exports from Tanzania, Burundi and Rwanda grew by 9.5 per cent, 44.3 per cent and six (6) per cent in 2018 compared to declines of 15.9 per cent, 6.5 per cent and 46 per cent in 2017 respectively.
The growth in Uganda’s exports declined to 11.4 per cent from 58.4 per cent while that from South Sudan fell by 88.8 per cent.

ukiachana na hili, we are already ahead of you guys in so many sectors: , mfano toursim hata ukijumlisha Kenya + uganda wote kwa pamoja mapato yenu bado mpo behind Tz: its fair to say, IMF and WORLD BANK cant be trusted:

at one point they did claim Kenya shilling is 30% over valued, better stick with what the government has

source: Why Kenya is losing position as region's exports powerhouse
Hio ripoti ulioleta imeandikwa na mwanahabari wa Kenya, kwahivyo ameiandika from a Kenyan perspective... yani kwamba si jambo zuri kwamba Imports za kutoka EAC zimeongezeka kwa kiasi hicho cha 14%....

Lakini hii haimanishi kwamba hatuna exports, Ukiangalia hapo kwa hio screenshot, Imports ilikua ni hio $676.5 Million kama vile inavyosema kwa hio taarifa yako, but ukiangalia Exports, Kenya ndo ilikua biggest exporter in EAC at $1.274 Billion.... Alafu wa pili ni Uganda.. Tanzania haiko kwa picha, imewachwa huko nyuma kabisa!!

1575026290897.png
 
International Media about Tanzania economy

Tanzania nauli ya basi kwa umbali wa km20 ni sh400 je Kenya umbali huo nauli ni sh ngapi ndiyo utajua Kenya is playing monkey business
Si hzo ni bei elekezi...ndo manake mahindi yalipopanda mkaanza kulia lia, hooo tunataka bei elekezi...
Lkn nilimkubali sana yule waziri wenu, kasema "bei elekezi kwn umemsaidia mkulima, ukishindwa kununua unga nunua mchele au nenda kalime na wewe"[emoji1787][emoji1787]

Ujamaa utaendelea kuwamaliza nynyi, naona mawaziri wote watafuata mkumbo
 
Tanzania bei ni moja ila kwa umbali wa km 45 nauli ni sh 800 mfano chanika . Ila hapo kwa Kenya km45 kuwa ksh70 hiyo ni Mara Mbili ya tz hivyo mishahara yenu kuwa juu inatokana na gharama za maisha Kenya ni zaidi ya Mara Mbili ya tz
Kenya unalipa nauli kulingana na wakati, bongo lala bana..

Kw mfano km bamburi ferry 40- 70
Mtwapa ferry 50-100
Hapo ni ujanja wako na wakati
 
Thats why ukaabiwa akileta makanga hko atakunywa beer zote na kuwateka wanawake...

Zigrazla..hakukuelewa huyu jamaa[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] makanga nairobi halali na chini ya tsh50,000 kila siku
 
Back
Top Bottom