Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Kimekufa nsiyi kwano uongoWatakoma wapi wakati ulikuwa ukisema Chadema kimekufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimekufa nsiyi kwano uongoWatakoma wapi wakati ulikuwa ukisema Chadema kimekufa
💩💩💩Kimekufa nsiyi kwano uongo
Mapokezi ya Tundu Lissu Tanga ni Hataree!!
Kazi ya Shekhe Ponda imeanza kuzaa Matunda
Umeumia roho sana mwambieni Mpwa wa Magufuli kuwa Sindano za Sumu haziwezi kushindwa nguvu ya UmmaPumbaff peleka kwenye nyuzi husika
Ha ha ha ha haaaaaa Bia yetu ushakula posho kwa kuloment hata usichokielewa ha ha ha haaaaaaaaSindano iwaingie Chadema
Naona umewaaahi mwenyewe ku-comment.Sindano iwaingie Chadema
Kwa hiyo hukuwaelewa hao TEW na kwa hiyo ili kupotezea unaleta ya shekhe Ponda?!?!! Duh...Uzi huu umekosa wachangiaji....Impact ya sheikh Ponda ni kubwa saana!! Sioni Ccm itapitaje kwenye sehemu zenye waislamu wengi. Sheikh Ponda anasikilizwa, anapendwa na kuaminiwa na waislamu wengi sana nchini.
Hakuna namna Ccm itashinda uchaguzi wa mwaka huu. Nasema tena hakunaaaa!!
Hongera sana Tundu Antiphas Lissu,
Nakuona Tarehe 28/10/2020 ukienda kupiga kura kituoni, Naona watanzania wengi wakienda kukupigia kura siku hii.
Naona vituo vya kupigia kura vikiwa vimejaa, wananchi wakiwa na furaha wakisema Ni yeye.
Naona zoezi la kupiga kura likiwa limekamilika na maeneo mengi Tanzania wananchi wakiwa mita 200 kusubiri matokeo. Wengi wakiwa hawajali kama kuna mvua au jua wanachotaka ni kupata matokeo yao.
Naona maeneo mbalimbali ya Tanzania wananchi wakianza kushangilia kuwa unaongoza kwa kura nyingi dhidi ya Mpinzani wako Magufuli na naona watanzania wengi wakiwa na furaha huku wakipigwa na butwaa kwani hawaamini yanayotokea.
Naona kiongozi mkuu wa kikosi cha walinzi wa viongozi alifika nyumbani kwako na kukutaarifu kuwa Idara nyeti ya Taifa imeamua kukuwekea ulinzi na nyumba yako ikiwekewa ulinzi na kikosi maalumu cha kulinda viongozi. Hii ni kwa sababu idara imeona ni vyema na vizuri kukutambua rasmi kama amiri jeshi mkuu mtarajiwa.
Mwisho Naona vuguvugu la ushindi wako linawashinda Tume ya Uchaguzi maana Tanzania nzima ni furaha na maandamano ya watu kushangilia kuanguka kwa Magufuli na hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi inakutangaza kama mshindi wa kiti cha Uraisi.
Mungu naomba fanikisha na simamia hili kwa Jina la Yesu Kristo. Amen.