Tanzania elections not credible, says European Union

Tanzania elections not credible, says European Union

Uloi nga mâché68;14497863 said:
Waende zao huko! Hawawezi kutuchagulia Rais tusiyemtaka. Sisi tumemchagua DR MAGUFULI awe Rais wetu. Wao kama kuna wanayemtaka wakampe atawale huko kwao!

Ni hao hao mnakwenda kuwatembezea bakuli la kuomba nyongeza za bajeti yenu ya nchi, leo punguwani unawaona hawana maana kwako.

Kwa akili ndogo kama hizi lazima elimu ya watu wazima zirudishwe sababu wajinga ni wengi kuliko werevu kwenye nchi hii.

Fikiri kabla ya kuongea
 
Back
Top Bottom