H hippocratessocrates JF-Expert Member Joined Jul 1, 2012 Posts 3,598 Reaction score 1,544 Oct 29, 2015 #21 Soon tutaheshimiana tu.
EWGM's JF-Expert Member Joined Jul 22, 2013 Posts 1,521 Reaction score 2,112 Oct 29, 2015 #22 Uloi nga mâché68;14497863 said: Waende zao huko! Hawawezi kutuchagulia Rais tusiyemtaka. Sisi tumemchagua DR MAGUFULI awe Rais wetu. Wao kama kuna wanayemtaka wakampe atawale huko kwao! Click to expand... Ni hao hao mnakwenda kuwatembezea bakuli la kuomba nyongeza za bajeti yenu ya nchi, leo punguwani unawaona hawana maana kwako. Kwa akili ndogo kama hizi lazima elimu ya watu wazima zirudishwe sababu wajinga ni wengi kuliko werevu kwenye nchi hii. Fikiri kabla ya kuongea
Uloi nga mâché68;14497863 said: Waende zao huko! Hawawezi kutuchagulia Rais tusiyemtaka. Sisi tumemchagua DR MAGUFULI awe Rais wetu. Wao kama kuna wanayemtaka wakampe atawale huko kwao! Click to expand... Ni hao hao mnakwenda kuwatembezea bakuli la kuomba nyongeza za bajeti yenu ya nchi, leo punguwani unawaona hawana maana kwako. Kwa akili ndogo kama hizi lazima elimu ya watu wazima zirudishwe sababu wajinga ni wengi kuliko werevu kwenye nchi hii. Fikiri kabla ya kuongea
bowlibo JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 3,205 Reaction score 2,905 Oct 29, 2015 #23 1954 said: I have the copy of the European Union prelimiary statement,and I have read it . So don't cheat us. Click to expand... Weka hiyo kopi hapa, tumtoe nishai huyu jamaa
1954 said: I have the copy of the European Union prelimiary statement,and I have read it . So don't cheat us. Click to expand... Weka hiyo kopi hapa, tumtoe nishai huyu jamaa