Russia is not your enemy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 373
- 625
Elimu ni silaha namba moja. Lakini Kwa Tanzania sio muhimu, kuna matatizo lukuki lkn watawala wanaigilolizia. Unawezaje kumuacha mzazi asilipie hata huduma za mwanae huko shuleni.
Fine basi msijishauri kumhudumia huyu mwalimu, mmemtupa. Emergine mwalimu ndio anamnunulia mwanafunzi mahitaji mzaz amerelax.
Wazazi wanabweteka Kwa kuwaacha free kuhudumia watoto wao..
Elimu sio rahisi kiasi hiki. Hata baba wa taifa aliweka amount kidogo. Kitendo Cha kufuta na ada ya kidato cha 5 ni ujuha. Ada secondari za Serikali ilikiwa 20,000 ilipaswa kuipunguza badala ya kuifuta A level ilikuwa 70,000 kufuta kabisa ni kosa sana. Baada ya kuifuta unafikiri huduma watazipata kwa ubora?
My take
Elimu isiwe Bure 100% itaimarika. Rahisi ni ghali, haiwezekani, watoto wanasoma wakiwa na njaa. Pamoja na kusisitizwa walipe ada ya chakula imeshindikana, wengi wanajua ni option kula au kutokula