MUKONZI NA BINO
Member
- Nov 20, 2013
- 27
- 18
Kwa wale ambao hawakuwepo kipindi hicho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante saana kilikuwa ni kipindi kigumu saana hasa kwa sisi majeneralHongera kwenu mliokuwepo kipindi hiko
Nalog off
Jenerali mstaafu kumbe. Hongera
Ngoja nijilazimishe kufahamu we ni nani[emoji1]Asante saana aise lkn ujeneral niliupata baada ya vita maana mm ndio niliyeset plan ya kipigo cha lukaya kipigo ambacho kiliangamiza 20% ya nguvu ya amin
Kabila ni muha na sasa nipo kigoma manyovu nalima ndizi na watermelon [emoji847][emoji847]Ngoja nijilazimishe kufahamu we ni nani[emoji1]
Gen. Mwita Marwa. Aliongoza Brigedia ya 208, kipindi hicho ni Brigedia. Wenzake ni kina Imran Kombe wa 201th Brigade, Herman Lupogo wote. Wote chini ya Msuguri. Sasa sijui nicomfirm wewe ni nani[emoji4][emoji4]Kabila ni muha na sasa nipo kigoma manyovu nalima ndizi na watermelon [emoji847][emoji847]
Upo vizuri au na Wewe ni mmoja wa wapiganaji wa hiyo vita?Gen. Mwita Marwa. Aliongoza Brigedia ya 208, kipindi hicho ni Brigedia. Wenzake ni kina Imran Kombe wa 201th Brigade, Herman Lupogo wote. Wote chini ya Msuguri. Sasa sijui nicomfirm wewe ni nani[emoji4][emoji4]
Historia nzuri kwa wale tunaosimuliwa na kusoma tu vita hii
Marwa ndio alikuwa anaitwa kambale alikuwa anasimamia briged 207 na 208 pia ndio master plan wa kuziteka masaka na entebbeNani alikuwa anaitwa Kambale
Mbona umedhamilia kumdiskloz hivyo angetaka kujulikana angekua verified memberGen. Mwita Marwa. Aliongoza Brigedia ya 208, kipindi hicho ni Brigedia. Wenzake ni kina Imran Kombe wa 201th Brigade, Herman Lupogo wote. Wote chini ya Msuguri. Sasa sijui nicomfirm wewe ni nani[emoji4][emoji4]
Ndo maana hakuna sehemu nimesema ni yeye. Hata hivo hawezi kuwa mmojawapo ya niliowatajaMbona umedhamilia kumdiskloz hivyo angetaka kujulikana angekua verified member
Kumbe brigedi mbili ziliweza kuongozwa na brigedia mmoja. Vipi yule kamanda Sule wa Uganda alikufaje kwa mtazamo wa JWTZ.Maana kuna mkanganyiko kwenye source zoteMarwa ndio alikuwa anaitwa kambale alikuwa anasimamia briged 207 na 208 pia ndio master plan wa kuziteka masaka na entebbe
mkuu washauri na wenzako wote ambao bado mko haimtunge vitabu ambavyo vitatupa mwanga juu ya vita hii na kutuongezea uzalendo,napenda sana kusoma vitabu vya masuala ya vita na upelelezi na kuangalia filamu ya masuala hayo.Asante saana aise lkn ujeneral niliupata baada ya vita maana mm ndio niliyeset plan ya kipigo cha lukaya kipigo ambacho kiliangamiza 20% ya nguvu ya amin
Kuna sababu nyingi zinazofanya historia ya vita iwe siri mfano baadhi ya mbinu zilizotumikamkuu washauri na wenzako wote ambao bado mko haimtunge vitabu ambavyo vitatupa mwanga juu ya vita hii na kutuongezea uzalendo,napenda sana kusoma vitabu vya masuala ya vita na upelelezi na kuangalia filamu ya masuala hayo.
Nalog off
Kumbe hatukuwa peke yetu tulikuwa na Cuba na ndugu zetu wengine waliotuunga mkono?Kuna sababu nyingi zinazofanya historia ya vita iwe siri mfano baadhi ya mbinu zilizotumika
Mfano shambulizi la kuangamiza ndege za amin kiuhalisia hilo shambulio lilikuwa chini ya makomando wa Cuba ndio walioseti kila kitu
Kumbe hatukuwa peke yetu tulikuwa na Cuba na ndugu zetu wengine waliotuunga mkono?
Sawa kabisa nimekuelewa kuhusu kwenye siri,kuna sehemu niliona majenerali wa frelimo na majenerali wa ureno walikubaliana kuwa hakuna kutunga kitabu na kuhadithia jinsi vita ilivyotokea mpaka kufika mwisho wa vita ila majenerali wa ureno wakaanza kutunga,basi na wa frelimo nao wameanza kutunga,jeneral Chipande naye kashatunga
Nalog off
Ahsante sana kwa hii historia,jenerali.Mbali na Cuba palikuwepo na Bulgaria na Algeria pia kipigo cha kuisambalatisha simba battalion kilikuwa ni kwa hisani ya watu wa China
Hao majeneral hata wakiandika vitabu havitokuwa sahihi kwa 100% maana Uganda aligawanwa na kila mshiriki kupewa eneo lake