Tanzania Exposed By Corona

Tanzania Exposed By Corona

Unafiki upo, ni kawaida ya binadamu na hakuna yeyote dunia hii ambaye hakosi unafiki wa kiana, sisi wote tunao, hakuna msafi, ila hapa nazungumza kwa niliyoyaona kwenu, yaani hamna kitu kinauma kama mtu aongee nawe kwa lugha mnayotumia huko kwenu yenye ukarimu sana kisha uje kumsikia maneno aliyokusema. Yaani unabaki ukijiuliza maswali mengi sana maana kwa muda wote hukuona dalili ya aina yoyote ya kwamba jamaa anakuchukia, au wana chuki baina yao.

Tafiti zimefanywa za kisayansi zinaonyesha Tanzania ipo ndani ya mataifa kumi ambayo wananchi wake hawana furaha duniani, kwa mtu ambaye hawajui Watz kiundani hatasadiki maana ni nchi ambayo haijawahi kuwa na vta vya ndani, lakini inawekwa pamoja na mataifa ambayo kwao ni mwendo wa mabomu kila siku.
Huo unafiki unaouongelea ndo ninaomaanisha mimi. Na hiyo ni tabia ya mtu binafsi si tabia ya watu wa taifa fulani na utaikuta kwa baadhi ya watu wa taifa lolote lile.

Hiyo ya Tz kuwekwa hilo kundi ni kutokana na haya mambo yanayoandikwa na wanasiasa na waandishi wengine..,na sio kwamba hizo takwimu au list siku zote zinaakisi uhalisia,hapana... Lile tukio la Makonda na Pompeo liliifanya Dar ianze kumulikwa kama jiji hatari.

Lakini je kwa uzoefu wako wa Dar es salaam na miji mingine duniani,hivi unaweza kuiweka dar miongoni mwa majiji hatari kweli? Dar hii ambayo hata ukiwa na silaha huoni umuhimu wa kutembea nayo inaweza kuwa hatari kweli kuliko Johannesburg au Durban ninayoona silaha nje nje na petty crime zakutosha? Hivyo si kila muda hizo data zitareflect uhalisia.
 
Huo unafiki unaouongelea ndo ninaomaanisha mimi....Na hiyo ni tabia ya mtu binafsi si tabia ya watu wa taifa fulani na utaikuta kwa baadhi ya watu wa taifa lolote lile.

Hiyo ya Tz kuwekwa hilo kundi ni kutokana na haya mambo yanayoandikwa na wanasiasa na waandishi wengine..,na sio kwamba hizo takwimu au list siku zote zinaakisi uhalisia,hapana... Lile tukio la Makonda na Pompeo liliifanya Dar ianze kumulikwa kama jiji hatari.

Lakini je kwa uzoefu wako wa Dar es salaam na miji mingine duniani,hivi unaweza kuiweka dar miongoni mwa majiji hatari kweli? Dar hii ambayo hata ukiwa na silaha huoni umuhimu wa kutembea nayo inaweza kuwa hatari kweli kuliko Johannesburg au Durban ninayoona silaha nje nje na petty crime zakutosha? Hivyo si kila muda hizo data zitareflect uhalisia.

Hebu tuyaweke haya pembeni kwa sasa maana ndio yale yale ambayo hakuna Mtz hata mmoja huyakubali maana hamuwezi kujiona, mpaka muonwe na sisi wageni tunaokuja huko.

Anyway hivi haya nimeona kwenye jukwaa lenu la siasa eti Aljazeera wanadai kuna vifo 50 Tanzania ni kweli? Au uzushi
 
Nyie si ndio mmeyasema hayo,labda nikuulize wewe😞😞
 
Chanzo cha habari NTV ya mange na kigogo?[emoji1][emoji1][emoji1]..
Wakenya mtakufa kwa roho mbaya zenu....
Miili yenu ipo kenya roho zenu zipo Tanzania..

Sent using Jamii Forums mobile app
Heri hao wanasema ile kitu hamwezi, the truth nyinyi wengine ccm fanatics ni denialism tu at the expense of human life, hii corona haiheshimu siasa ama pesa ngoja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somalia ana vifo 28 japo sio East Africa.
Kwa East Africa kenya anaongoza vifo 17

Sent using Jamii Forums mobile app
Vimeongezeka ni 27 na idadi ya wagonjwa inaongezeka
Screenshot_20200502-121505_1588410942779.jpg

God save us
 
Huyo asikupe tabu, nimemuumbua mpaka akaanza kuonyesha rangi yake halisi kama wenzake waliokua wakitutukana, utakuta hata labda ni hao hao mmoja kabadilisha ID kaja kihivi. Tutaendelea kuwakumbushia, ukipitia jukwaa lao la siasa ni tanzia mwanzo mwisho, leo wamempoteza waziri.

Tuliwaambia hiki kitu ni hatari wachukue tahadhari, wakatutukana kwamba sisi ni watumwa wa wazungu ndio maana tuna copy paste tahadhari zao.

Tukjaribu sana kuwakumbushia sisi wote hakuna anayepaswa kumcheka mwenzake, tuchukue tahadhari, wao wakawa ni mikwara na kejeli kila siku, leo tunawakumbushia maneno yao wanasema tunawacheka, sisi hatuwachekelei maana bado tupo kwenye mapambano, tunachofanya ni kuwakumbushia tu ili watie akili na siku nyingine wasiwe wapumbavu, waingie kwenye mapambano tupambane na hiki kirusi.
Sawa ninyi mnaooambana hebu tuambieni kwanini idadi ya wagonjwa imeongezwka mpaka 411 na vifo 27?

Watu wanapikia watoto wao mawe raisi wenu yuko busy kutuma zawadi ya maua U.K

Screenshot_20200502-121505_1588410942779.jpg

God save us
 
Sawa ninyi mnaooambana hebu tuambieni kwanini idadi ya wagonjwa imeongezwka mpaka 411 na vifo 27?

Watu wanapikia watoto wao mawe raisi wenu yuko busy kutuma zawadi ya maua U.KView attachment 1437450

God save us

Kwetu tunapima karibu mara nne ya kwenu, mngekua mnapima hata robo ya idadi ya watu tunaopima kwa siku mngejishangaa, ila kwa sasa nyie mumebakia kutupia mapicha ya watu wakizikwa usiku kimya kimya.

Nyie sasa hizi hapa ndio habari kwenye mitandao

2386558_20200502_082226.jpg
 
Umemuuliza huyo dada bibi yake kafa kwa ugonjwa gani? Na hao 18 wamekufa kwa ugonjwa gani?

Back
Top Bottom