Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This pandemic is obliterating Kunyaland!This Pandemic will expose the Man "Magufuli" and his insecurities
Kwa kweli kwa hili wanastahili pongeziKunya land wanapenda kuongoza kila kiti hata Corona wameongoza tuwapongeze
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Corona ni janga la dunia nzima - Nchi Tajiri na Maskini.
Lakini Corona ilipofika Kenya, WaTanzania wengi wakiongozwa na mwenyekiti wa Kamati Ya Roho Chafu - bwana joto la jiwe walifungua uzi hapa JF kusema vile ambavyo Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na Corona.
Uzi wenyewe haukuwa hata na Mbinu zozote ilikuwa tu kuichekelea nchi ya Kenya ambayo ilikuwa na wagonjwa zaidi ya 100 wakati ule.
Ukijaribu kuwatuliza kidogo kuuliza swali "umepima watu 300 pekee, Kenya imepima zaidi ya 2500 wakati huo", jibu lilikuwa matusi, "kama our target ilikuwa 300, unataka tutoe watu wa kupima wapi?"
The only thing that saves Tanzania is that they can cook numbers and muzzle the media.
From their economy to national projects to National disasters.
Badilikeni Muendelee kuishi.