Pamoja na ukweli kwamba Watanzania tunapenda kujidanganya lakini cha ajabu tunadanganya mpaka vizazi vijavyo.
Bila katiba mpya ambazo zitatoa mfumo imara wa sheria, bunge na utawala bora hatuwezi kuwa na dira ya maana bila hayo.
Huwezi kuweka Dira wakati kiongozi yeyote anaweza kuingia na kuamua asifuate sheria. Au Kiongozi kwa maono yake tu anafukuza kampuni bila kufuata sheria halafu ndege zetu zinashikwa huko.
Ni lazima kuwe na sheria imanara ambazo zitaheshimiwa na hili lina anzia na katiba mpya. Katiba sio shwala ya idadi ya wabunge pekee lakini ni muhimu kwa kuheshimu katiba.
Kwa sasa rushwa ni kubwa sana, mikataba ya kitaifa haiko wazi, madaraka ya Raisi yamepitiliza, hakuna chaguzi huru na mahakama haitoi haki kwa wakati ina rushwa kubwa na haiendani na wakati.
Kama kweli tunataka Dira ya 2050 ya maana ni lazima tuweke katiba mpya. Mama katuangusha Watanzania sana