Tanzania finally surrenders to Kenya on the testing dispute at the border

Wivu wao hutokanaa na kwamba wameshindwa kuifikia Kenya kwenye kila kitu, they are getting really frustrated and it's manifesting in so many ways.
Wametushinda kwa umaskini na uchawi😂😂
 
Your elites know that something behind, ni nyinyim makanjanja ndio hamjui, and it has been like that since nyerere era. Hakuna jokes.

Abt the article, inasema, drivers will enter with or without covid 19. Sasa matakws yepi hayo unaona mmeshinda, mtawapima Kenya, wataingia Kenya bila majibu hao hadi 14 days ndio watapata majibu hao after entering Kenya, so it means hata akiwa na covid19 ataruhusiwa tu, sasa ni upuuzi gani huu unakuja shangilia humu. Did u read the article. Nyie ni wajinga sana joh, kuzuia movements usiku, sasa mnaruhusu madereva waingie tu hata kama wana corona.
Failed hopeless country
The problem with you Tanzanians is that your reason and comprehension is very poor. The article only states that a driver won`t be denied into his/her home country whether with Covid or not. In other words Kenya won`t deny positive Kenyans to come to Kenya but, it will deny positive Tanzanians from crossing. Have you understood? I know your education system is very poor.
 
Kwani kuwapigia kura LAZMA?.
kila mtu aishi maisha yake msijipendekeze
Hawa tusicheke nao tena, kwanza jinsi wameamua kuangukia pua kwenye kura ya UNSC kwa kwenda pamoja na Waarabu na kinyume cha SADC na EAC, tulale nao mbele kwenye kila kitu, wamedhihirisha sio watani ila watu wenye roho nyeusi za kiajabu ajabu full uchawi, tusimamie kwa ukali chochote kinawahusu.

Kila anayeng'ang'ania kuingia Kenya kwa njaa zao lazima apimwe apimwe na apimwe. Tanzania ya leo imeshindwa diplomasia kabisa, yaani wapo hovyoo na kuwa aibu Afrika.
 
Ethiopia hawajawapigia kura pia au wale sio majirani zenu?
Mnavyowashwawashwa na mambo ya Tz kutuchafua ndio mtegemee tuwape kura hamna sifa,mmeshinda lakini hatuhusiki na ushindi Huo kura zimewatosha lakini haijatoka Bongo!!
1.EGYPT
2.ALGERIA
3.MOROCCO
4.ETHIOPIA
5.TANZANIA
They said no vote to Nyang'au and that is
And now nyinyi wachawi you must consult Kenya before doing any security decision outside your country.
 
Hawa tusicheke nao tena, kwanza jinsi wameamua kuangukia pua kwenye kura ya UNSC kwa kwenda pamoja na Waarabu na kinyume cha SADC na EAC, tulale nao mbele kwenye kila kitu, wamedhihirisha sio watani ila watu wenye roho nyeusi za kiajabu ajabu full uchawi, tusimamie kwa ukali chochote kinawahusu.

Kila anayeng'ang'ania kuingia Kenya kwa njaa zao lazima apimwe apimwe na apimwe. Tanzania ya leo imeshindwa diplomasia kabisa, yaani wapo hovyoo na kuwa aibu Afrika.
Tutawawekea vikwazo mkizidisha nyenyenye...
 
poleni waswahili mazee dah! upimwaji lazima uendelee! mambo ya nyungu pelekeni kuleeeee.............djibouti kwa wenzenu😂
 
But how do you feel now that Wanjohi is in the boardroom wakati Kinjeketile anaosha choo?
Hakuna kitu tunafeel bro,mlitakampate kura zote wakati hamna vigezo kwa wapiga kura wote?
 
The problem with you Tanzanians is that your reason and comprehension is very poor. The article only states that a driver won`t be denied into his/her home country whether with Covid or not. In other words Kenya won`t deny positive Kenyans to come to Kenya but, it will deny positive Tanzanians from crossing. Have you understood? I know your education system is very poor.
Fara kweli we jamaa, first the thing is fake, and it came from Kenya, na article inasema mtawapima wakiwa mpakani, sababu majibu yanachukua siku 14, mtawaruhusu kuingia Kenya bila ya majibu yao kama ni positive au ni negative.
Labda ww ndio huelewi English
 
Hakuna kitu tunafeel bro,mlitakampate kura zote wakati hamna vigezo kwa wapiga kura wote?
Mnaumia sana kwanzan Kinjeketile anatamani kulia akiona wanjohi ako UN.
 
Fara kweli we jamaa, first the thing is fake, and it came from Kenya, na article inasema mtawapima wakiwa mpakani, sababu majibu yanachukua siku 14, mtawaruhusu kuingia Kenya bila ya majibu yao kama ni positive au ni negative.
Labda ww ndio huelewi English
I told you your brain is rotten, are you aware that testing results are immediately ? Kwanza hiyo ni article ya Tanzania na inasema vizuri kuwa Kenya itakuwa inapima madereva wa Tanzania. na yeyote atapatikana na virusi atakubaliwa.
 
Huu ndio uamuzi wa Busara! Kila nchi ina haki yake katika mpaka wanao share! Wakenya wakiingia Tanzania wapimwe,Watanzania wakiingia Kenya wapimwe.Basi!
 
I told you your brain is rotten, are you aware that testing results are immediately ? Kwanza hiyo ni article ya Tanzania na inasema vizuri kuwa Kenya itakuwa inapima madereva wa Tanzania. na yeyote atapatikana na virusi atakubaliwa.
Your brain is the fucked up rotten one, read this paragraph from the article you posted here you foolish psycho.

"He said that, under the new arrangements, truck crews will be allowed to proceed with their journey even without having received their Covid-19 test results."

Hiyo paragraph nimeitoa kwa upuuzi ulioweka, isome vizuri, wewe na viongozi wenu wote mbumbumbu ndio maana mnapelekwa kama nyumbu, wajinga nyinyi. What the fvck is that, how can sane people allow individuals to enter their country without having received their test results, only in shithole kenya. Woi. And the kenyans cant see the lies.
 
Ethiopia hawajawapigia kura pia au wale sio majirani zenu?
Mnavyowashwawashwa na mambo ya Tz kutuchafua ndio mtegemee tuwape kura hamna sifa,mmeshinda lakini hatuhusiki na ushindi Huo kura zimewatosha lakini haijatoka Bongo!!
1.EGYPT
2.ALGERIA
3.MOROCCO
4.ETHIOPIA
5.TANZANIA
They said no vote to Nyang'au and that is

Wasomali, Waarabu na Wahabeshi hatuna tatizo nao maana wao huwa kimoja kwenye kila kitu, ila nyeusi mwenzetu kama Uganda, Rwanda, Tanzania...yaani SADC na EAC yote sikutegemea aibuke hata mmoja anaayeendana na waarabu. Na mpaka sasa siamini, naona itakua fake news.
 
Watz wanaweza wasiwape kura amini hivyo.Inawezekana kabisa

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Wasomali, Waarabu na Wahabeshi hatuna tatizo nao maana wao huwa kimoja kwenye kila kitu, ila nyeusi mwenzetu kama Uganda, Rwanda, Tanzania...yaani SADC na EAC yote sikutegemea aibuke hata mmoja anaayeendana na waarabu. Na mpaka sasa siamini, naona itakua fake news.
Its not fake, its real. And there is nothing you can do abt it
 
Says who? Wewe?.... Hivi unajua hata geti la magogoni au unaandika andika tu ukishalewa mbege. Haya ni mambo ya high level, hauna uelewa nayo. Anyway sina haja ya kujibizana na wewe maana nimepata uhakika sehemu kwamba ni fake news...
 
Back
Top Bottom