Tanzania finally surrenders to Kenya on the testing dispute at the border

But Longido District Commissioner Frank Mwaisumbe yesterday said that leaders have resolved that Tanzanian truck crews crossing the Namanga border to Kenya would now be tested by Kenyan authorities - and vice versa.

And Vice versa -sasa hapo nani ka-surrender ,wewe pima wangu na mimi na pima wako,ukizingua madereva wangu na mimi nazingua madereva wako,ukiweka kigingi sisi tunaweka chuma.
 
Says who? Wewe?.... Hivi unajua hata geti la magogoni au unaandika andika tu ukishalewa mbege. Haya ni mambo ya high level, hauna uelewa nayo. Anyway sina haja ya kujibizana na wewe maana nimepata uhakika sehemu kwamba ni fake news...
Hata kama itakua kweli serikali ya Kenya haina uwezo wa kuchukua hatua ambayo itasababisha Tanzania ipate madhara hakuna kwahiyo kinachoonekana hapa ni hasira tu kwenye koo lako ila hakuna cha kufanya kuikomesha Tanzania
 
Huu ni uwendawazimu sasa!

Mnawapima halafu wanaendelea na safari bila kujua majibu yao halafu mnashangilia ushindi!!

Kwa hiyo hii hatua itadhibiti maambukizi mapya Kenya?

Au shida yenu ni kuwapima waTz pekee?

Kama mlivikataa vyeti vya Tz kwamba hamviamini Sasa hiki mlichokubaliana si ni beyond madness.
 
Says who? Wewe?.... Hivi unajua hata geti la magogoni au unaandika andika tu ukishalewa mbege. Haya ni mambo ya high level, hauna uelewa nayo. Anyway sina haja ya kujibizana na wewe maana nimepata uhakika sehemu kwamba ni fake news...
Fake news from your medias, ndio ujue nyie huwaga mnatutafuta ugomvi sana
 
You are so fake men.
 
Someni mwelewe article. Yaani tunapima kwa pamoja, naingia nchi husika, on return ndo napitia majibu. Ni majuha pekee wanaoweza kushangilia ushindi.

Tanzania are smatter than you guys
 
We didn`t have a problem with you testing our drivers, ni ninyi ndio hankuwa mnataka madereva wenu wapimwe. And as you can see from the article you have coiled your tails between your legs.
 
We didn`t have a problem with you testing our drivers, ni ninyi ndio hankuwa mnataka madereva wenu wapimwe. And as you can see from the article you have coiled your tails between your legs.
Mlivunja makubaliano nyinyi kwa kutokuheshimu vyeti vya kutoka Tanzania,tulikubaliana kila mtu apime madereva wake na cheti kiheshimike pande zote.

Sasa najua mmekuja na style nyingine nina uhakika hata haya makubaliano mtakuwa wa kwanza kuyavunja.Alafu ni kwambie kitu sisi hatuna cha kupoteza,nyinyi mnatuhitaji sana kwanza mnahitaji chakula kutoka kwetu,pili nyinyimna exports bidhaa nyingi kuliko sisi,kwa hiyo huu mgogoro unawaumiza nyinyi,madereva wenu,pamoja na viwanda vyenu.

Ndio maana mwanzoni tulivyofunga mipaka Balozi wenu huku kaitisha press conference na kuanza kulia lia.

Nasikia sasa hivi baada ya mgogoro huu vyakula kwenu vimepanda bei.MTAKE MSITAKE LAZIMA MTAFUATA TUKITACHO SISI NA MTAFUATA.

So pima wangu na mimi nipime wako ukizungua mwendo ule ule UKIWEKA KIGINGI SISI TUNAWEKA CHUMA kwani SISI HATUNA CHA KUPOTEZA KWENU hamna kubembelezana.
 
How many time have you seen Kenyan authorities complaining about the border standoff, I`m not more than one. On the other hand, your leaders have been crying like stupid kids at the border countless times. I give you only two weeks and you will see hao wachawi wakianza kulia tena.
 
ahahaha,mpaka wakenya wanyooke
 
Sisi tunacho complain nyie hamp fair na ndio maana mkifunga na sisi tunafunga.Yaani kwa kifupi sisi HATUWAHITAJI NYINYI,ILA NYINYI MNATUHITAJI SISI.

Hata hizo bidhaa zenu mnazozileta kwetu tunaweza Kuzipata ZAMBIA na SA so nyie fungeni kwenu na sisi tunafunga kwetu,alafu ndio uone nani mwisho wa siku atakuwa ana HESABU MAKUTI WAKATI MWENZAKE ANA HESABU NAZI.
 
Kitu tunaiotaji kutoka Tanzania ni wachawi pekee, hao ndio hatuna Kenya. Hizo zingine we will never need from you.
 
Kitu tunaiotaji kutoka Tanzania ni wachawi pekee, hao ndio hatuna Kenya. Hizo zingine we will never need from you.
Mnajiona special kumbe mavi mavi tupu,mnatishia kujamba wakati mna harisha,endelea kufunga mipaka tu sisi nasi tunafunga yetu,kila mmoja ashinde mechi zake.

Mnanjaa,ukame,nzige,mafuriko,plus lockdown ya kisanii alafu mnatutisha.....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Beyond kabisa, ni wa ajabu hawa majamaa
 
We didn`t have a problem with you testing our drivers, ni ninyi ndio hankuwa mnataka madereva wenu wapimwe. And as you can see from the article you have coiled your tails between your legs.
I'm honestly amused, umesoma iyo article na ukaielewa vizuri? That is an insane decision, can't you see?
 
Yani huyu mpuuzi wa kunyaland anashadadia ufala yani kwao huo ndo ushindi kinachotakiwa ni takwimu mpeleke kwa wazungu waliowapatia pesa ndo maana kuwa mgonjwa sio ishu ishu ni takwimu shenzi hawa
Idadi ya wagonjwa inayotangazwa inaongezeka kila siku. Kama ni kweli basi hakika utawala umeshindwa na wakenya ni watu hovyo kabisa kutokuzingatia kanuni za kujikinga dhidi ya masmbukizi. Kama takwimu hizo siyo kweli basi uyawala unafsnya hivyo kuthibitisha uhalali wa pesa ya mkopo na ikiwezekana waongezewe. Ikiwa hivyo wanufaika ni walioko madarakani.
 
"He said that, under the new arrangements, truck crews will be allowed to proceed with their journey even without having received their Covid-19 test results." This is absurd!
 

Kama mmenyimwa kura bac mnastahili maana πŸ‡°πŸ‡ͺ ilishawahi kutusaliti ktk ile issue ya meno ya tembo kuyauza ..kenya walipiga kura ya kuomba tz tusiruhusiwe kuhuza shehena zetu za meno ya tembo. Yaan kama tume wanyima kura binafsi nimefurahi mnoooo kama itakuwa ni kweli hatuja wapigia kura ..... πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…