Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Kwa kipindi kipi?Hiki ndio kikosi bora kuwahi kutokea cha wachezaji ambao wamewahi kucheza Tanzania.
1) Mwameja Mohamed Mwameja
2) Shadrack Joel Nsajigwa "fuso"
3) Mecky Mexime
4) George Magere Masatu
5) Bakari Malima "jembe ulaya"
6) Hussein Amani Marsha
7) Said Maulid Kalukula "SMG"
8) Sunday Ramadhan Manara "computer"
9) Mohamed Hussein "mmachinga"
10) Zamoyoni Kondo Mogella "golden boy"
11) Edidily Jonas Lunyamila
View attachment 2634928View attachment 2634929View attachment 2634930View attachment 2634931View attachment 2634932View attachment 2634933View attachment 2634934View attachment 2634935View attachment 2634936View attachment 2634937View attachment 2634938
Tatizo umri mkuuSijakuelewa- ina maana hawa huwafahamu au?
1. Jumanne Hassan Masimenti
2. Ezekiel Greyson Jujuman
3. Willy Mwaijibe
4. Adam Sabu
5. Haidari Abeid
6. Abdallah Kibadeni
7. Shabani Baraza
8. Omari Gumbo
9. Aluu Ali
10. Lucas Nkondola
11. Gibson Sembuli
12. Kitwana Manara
13. Juma Mensah
14. Leodgar Chila Tenga
15.,Khasim Manga
16. Leonard Chitete
17. Hamis Gobbos
18. Maulid Dilunga
19. Khasim Manara
20. Nico Njohole
22. Leopold Tasso Mukebezi
23. Omari Mahadhi Bin Jabri
24.Omari Chuma
25.Mohammed Bakari Tall
26. Mambosasa
27. Boniface Mkwasa
28. Juma Mgunda
29. Godfrey Nguluko
30. Said Ally
31. Omar Chogo
Katika kitu nashukuru ni kutokimbia umande.Kwa kipindi kipi?
Hii ni fake kama Said Mwamba Nassoro Kizota hayupo kwenye listHiki ndio kikosi bora kuwahi kutokea cha wachezaji ambao wamewahi kucheza Tanzania.
1) Mwameja Mohamed Mwameja
2) Shadrack Joel Nsajigwa "fuso"
3) Mecky Mexime
4) George Magere Masatu
5) Bakari Malima "jembe ulaya"
6) Hussein Amani Marsha
7) Said Maulid Kalukula "SMG"
8) Sunday Ramadhan Manara "computer"
9) Mohamed Hussein "mmachinga"
10) Zamoyoni Kondo Mogella "golden boy"
11) Edidily Jonas Lunyamila
View attachment 2634928View attachment 2634929View attachment 2634930View attachment 2634931View attachment 2634932View attachment 2634933View attachment 2634934View attachment 2634935View attachment 2634936View attachment 2634937View attachment 2634938
Sio kila uzi unapaswa upost, unaweza ukakaa kimya tu bila kuharibu uzi wa watu.Mbona sijamwona mohammed hussein, inonga baka, pape sakho, konoute..... [emoji16][emoji854]
Ni kweli kaka.Wangecheza hivi sasa wasingekuwa maarufu hao
Mpira umebadilika sana na umekuwa mgumu
Hamnaga kitu kinaitwa "kuwahi kutokea", ni matumizi mabaya Sana ya akili kusema hvyo , waswahili tunasema kila nabii na Zama zake ... Hakuna mtu anaweza kuwa best katika Zama zote kwenye ulimwengu huu ambao unabadrika kila uchwao... Ndo mana mnaishia kukosoana tuu mara mweke huyu mara mtoe huyu , mara list haijakamilika bila fulan ... Zote hzo ni ishara kuwa hamna mtu Bora wa wakat wote.... Ndo mana rekodi zinavunjwa
Yale mambo ya Edibily Lunyamila kuwapiga chenga wachezaji kuanzia katikati ya uwanja mpaka golini na akafunge haiwezi tokea tenaNi kweli kaka.
Yaani hakuna Hussein Marsha,hamis Gaga,athman china,kizota!?Hiki ndio kikosi bora kuwahi kutokea cha wachezaji ambao wamewahi kucheza Tanzania.
1) Mwameja Mohamed Mwameja
2) Shadrack Joel Nsajigwa "fuso"
3) Mecky Mexime
4) George Magere Masatu
5) Bakari Malima "jembe ulaya"
6) Hussein Amani Marsha
7) Said Maulid Kalukula "SMG"
8) Sunday Ramadhan Manara "computer"
9) Mohamed Hussein "mmachinga"
10) Zamoyoni Kondo Mogella "golden boy"
11) Edidily Jonas Lunyamila
View attachment 2634928View attachment 2634929View attachment 2634930View attachment 2634931View attachment 2634932View attachment 2634933View attachment 2634934View attachment 2634935View attachment 2634936View attachment 2634937View attachment 2634938
Gaucho,Messi mbona wamepiga vyenga kundi la watu!!?...yaani lunyamila asiwapige vyenga akina Mohammed Hussein na kapombe!?Yale mambo ya Edibily Lunyamila kuwapiga chenga wachezaji kuanzia katikati ya uwanja mpaka golini na akafunge haiwezi tokea tena
Mabeki gani utawachenga hivyo wakuangalie mpaka ukafunge? [emoji13]
Sawa mkuu, Mimi pamoja na wenzangu bila shaka tutazingatia hilo. 🙃😁Sio kila uzi unapaswa upost, unaweza ukakaa kimya tu bila kuharibu uzi wa watu.