Tanzania Football Best XI Of All Time

Wazee duniani kote wanajazwa sana ujinga ila kuna ambao uwezo hawamfikii ata Msuva wengi tu
 
MSIWE mnaposti vitu ambavyo hamvijui.

Unaweza ukaleta taharuki zisizo na faida.


Nilipoona KIBADENI anakosekana.
Nilipoona Gagarinho anakosekana nikajua hapo hamna kitu
 

Canavaro mtoto mdogo kwa AKINA kimti, BONIFACE PAWASA NA VICTOR COSTA.
 
Naona kwa makusudi kabisa mnajisahaulisha SAID SWEDI (SCUD) na SUNDAY MANARA (KOMPYUTA)
 
Samata sio mtanzania?

Maana kawapita mafanikio wote
 
Gaucho,Messi mbona wamepiga vyenga kundi la watu!!?...yaani lunyamila asiwapige vyenga akina Mohammed Hussein na kapombe!?
Alipiga wajinga wenzia wazee wa zamani walikuwa wa kawaida mno
 
1.Madaraka Suleiman X
2.Idd Pazzi X
3.Athmani China X
Ohhh
 
Best XI unaelewa maana yake? Umetaja wachezaji 31, badala ya XI
 
Bila hawa hii ni fake
1. Nteze John Lungu
2. Fikiri Magoso
3. Twaha Hamidu
4. Fumo Felician
5. Athuman Chama
6. Abdallah Kibaden Mputa
7. Steven Nemes
8. Juma Amir
Waingie hao watoke kina nani?

Alafu Steven nemes anawezaje kumfikia Mwameja?
 
Hizi bangi. Bora ungefanya yote Ila sio kumuacha Mwameja, Lunyamila na manara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…