Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja wakusikie wazee wa old is GoldWangecheza hivi sasa wasingekuwa maarufu hao
Mpira umebadilika sana na umekuwa mgumu
Ngoja wakusikie wazee wa old is Gold .Wangecheza hivi sasa wasingekuwa maarufu hao
Mpira umebadilika sana na umekuwa mgumu
1.Aishi Manula.
2.Mtwa kihwelu
3.Mohamed Hussein 'zimbwe jr'
4.Kenny Mkapa.
5.NadirCanavaro
6.Malota Soma
7.SimomMsuva.
8.Nteze John.
9.Hussein 'Mmachinga'
10.Makumbi Juma.
11.Mussa Hassan Mgosi.
Line up is subject to change due to the other factors.*
Samata sio mtanzania?1.Aishi Manula.
2.Mtwa kihwelu
3.Mohamed Hussein 'zimbwe jr'
4.Kenny Mkapa.
5.NadirCanavaro
6.Malota Soma
7.SimomMsuva.
8.Nteze John.
9.Hussein 'Mmachinga'
10.Makumbi Juma.
11.Mussa Hassan Mgosi.
Line up is subject to change due to the other factors.*
Alipiga wajinga wenzia wazee wa zamani walikuwa wa kawaida mnoGaucho,Messi mbona wamepiga vyenga kundi la watu!!?...yaani lunyamila asiwapige vyenga akina Mohammed Hussein na kapombe!?
Tulia ww mbongo flava sio kizazi chenu hkiMbona sijamwona mohammed hussein, inonga baka, pape sakho, konoute..... 😁🙃
Kizazi changu kipo moto fire.....Tulia ww mbongo flava sio kizazi chenu hki
Utoto udogo au kiwango which matter?Canavaro mtoto mdogo kwa AKINA kimti, BONIFACE PAWASA NA VICTOR COSTA.
1.Madaraka Suleiman XHiki ndio kikosi bora kuwahi kutokea cha wachezaji ambao wamewahi kucheza Tanzania.
1) Mwameja Mohamed Mwameja
2) Shadrack Joel Nsajigwa "fuso"
3) Mecky Mexime
4) George Magere Masatu
5) Bakari Malima "jembe ulaya"
6) Hussein Amani Marsha
7) Said Maulid Kalukula "SMG"
8) Sunday Ramadhan Manara "computer"
9) Mohamed Hussein "mmachinga"
10) Zamoyoni Kondo Mogella "golden boy"
11) Edidily Jonas Lunyamila
View attachment 2634928View attachment 2634929View attachment 2634930View attachment 2634931View attachment 2634932View attachment 2634933View attachment 2634934View attachment 2634935View attachment 2634936View attachment 2634937View attachment 2634938
Best XI unaelewa maana yake? Umetaja wachezaji 31, badala ya XISijakuelewa- ina maana hawa huwafahamu au?
1. Jumanne Hassan Masimenti
2. Ezekiel Greyson Jujuman
3. Willy Mwaijibe
4. Adam Sabu
5. Haidari Abeid
6. Abdallah Kibadeni
7. Shabani Baraza
8. Omari Gumbo
9. Aluu Ali
10. Lucas Nkondola
11. Gibson Sembuli
12. Kitwana Manara
13. Juma Mensah
14. Leodgar Chila Tenga
15.,Khasim Manga
16. Leonard Chitete
17. Hamis Gobbos
18. Maulid Dilunga
19. Khasim Manara
20. Nico Njohole
22. Leopold Tasso Mukebezi
23. Omari Mahadhi Bin Jabri
24.Omari Chuma
25.Mohammed Bakari Tall
26. Mambosasa
27. Boniface Mkwasa
28. Juma Mgunda
29. Godfrey Nguluko
30. Said Ally
31. Omar Chogo
Kusoma haujui? All time huelewi maana yake?Kwa kipindi kipi?
Ili saidi mwamba awepo ilipaswa atoke nani? Zamoyoni mogela? Sunday manara?Hii ni fake kama Said Mwamba Nassoro Kizota hayupo kwenye list
Waingie hao watoke kina nani?Bila hawa hii ni fake
1. Nteze John Lungu
2. Fikiri Magoso
3. Twaha Hamidu
4. Fumo Felician
5. Athuman Chama
6. Abdallah Kibaden Mputa
7. Steven Nemes
8. Juma Amir
Hizi bangi. Bora ungefanya yote Ila sio kumuacha Mwameja, Lunyamila na manara1.Aishi Manula.
2.Mtwa kihwelu
3.Mohamed Hussein 'zimbwe jr'
4.Kenny Mkapa.
5.NadirCanavaro
6.Malota Soma
7.SimomMsuva.
8.Nteze John.
9.Hussein 'Mmachinga'
10.Makumbi Juma.
11.Mussa Hassan Mgosi.
Line up is subject to change due to the other factors.*
Mnakimbilia kujibu Mtihani mkifeli lawama kwa walimu. Namba 6 hapo humuoni Hussein Amani Marsha?Yaani hakuna Hussein Marsha,hamis Gaga,athman china,kizota!?