Tanzania Football Best XI Of All Time

Unamuachaje Jorum Mwakatika?
 
Hawezi kumtaja ana wivu wa maendeleo kwa vijana wenzie pimbi huyu [mention]Countrywide [/mention]
Kama wivu wa mendeleo ni yale ya kujiuza kigamboni, wacha niwe na wivu tu
 
Simuoni Jelah Mtagwa?
 
Naona kwa makusudi kabisa mnajisahaulisha SAID SWEDI (SCUD) na SUNDAY MANARA (KOMPYUTA)
Said Sued "Scud" hata wakiweka best 200 hawezi kuwemo. Alikuwa mchezaji wa kawaida Sana Kwa maana halisi ya neno kawaida. Namfahamu nimemuona Tangu anatoka Kigoma. Yule na Yikpe tofauti ni uraia tu Bora hata Molinga Ndama Mutoto ya Ng'ombe. Alibebwa na Mechi mbili tu zote Yanga Vs Simba na hakusajiliwa tena msimu uliofuata.
 
Kuna watu mnachuki sana aisee 🤣🤣🤣🤣 kwakua aliwakanda
 
Alikuwa mzuri sana, ila alianza mambo ya Feitoto Yanga wakamnyoosha.
 

Manula Kwa mwameja hata robo haingii
 
Wachezaji wakati nchi Ina heshima na adabu,pure talents sio hizi fake za sasa,Hamisi Gaga, Aluu Ally ,Adolf, Nico, viungo hawa ilikua ni burudani kuwaona wakionyesha vipaji vyao hasa Gaga, akiweka mpira mguuni kwake huwezi kuuchukua kirahisi na pia huwezi kumwona akijiangausha ovyo kama hawa kenges wa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…