Tanzania Football Best XI Of All Time

Tanzania Football Best XI Of All Time

Hiki ndio kikosi bora kuwahi kutokea cha wachezaji ambao wamewahi kucheza Tanzania.

1) Mwameja Mohamed Mwameja
2) Shadrack Joel Nsajigwa "fuso"
3) Mecky Mexime
4) George Magere Masatu
5) Bakari Malima "jembe ulaya"
6) Hussein Amani Marsha
7) Said Maulid Kalukula "SMG"
8) Sunday Ramadhan Manara "computer"
9) Mohamed Hussein "mmachinga"
10) Zamoyoni Kondo Mogella "golden boy"
11) Edidily Jonas Lunyamila

View attachment 2634928View attachment 2634929View attachment 2634930View attachment 2634931View attachment 2634932View attachment 2634933View attachment 2634934View attachment 2634935View attachment 2634936View attachment 2634937View attachment 2634938
Unamuachaje Jorum Mwakatika?
 
Sijakuelewa- ina maana hawa huwafahamu au?
1. Jumanne Hassan Masimenti
2. Ezekiel Greyson Jujuman
3. Willy Mwaijibe
4. Adam Sabu
5. Haidari Abeid
6. Abdallah Kibadeni
7. Shabani Baraza
8. Omari Gumbo
9. Aluu Ali
10. Lucas Nkondola
11. Gibson Sembuli
12. Kitwana Manara
13. Juma Mensah
14. Leodgar Chila Tenga
15.,Khasim Manga
16. Leonard Chitete
17. Hamis Gobbos
18. Maulid Dilunga
19. Khasim Manara
20. Nico Njohole
22. Leopold Tasso Mukebezi
23. Omari Mahadhi Bin Jabri
24.Omari Chuma
25.Mohammed Bakari Tall
26. Mambosasa
27. Boniface Mkwasa
28. Juma Mgunda
29. Godfrey Nguluko
30. Said Ally
31. Omar Chogo
Simuoni Jelah Mtagwa?
 
Naona kwa makusudi kabisa mnajisahaulisha SAID SWEDI (SCUD) na SUNDAY MANARA (KOMPYUTA)
Said Sued "Scud" hata wakiweka best 200 hawezi kuwemo. Alikuwa mchezaji wa kawaida Sana Kwa maana halisi ya neno kawaida. Namfahamu nimemuona Tangu anatoka Kigoma. Yule na Yikpe tofauti ni uraia tu Bora hata Molinga Ndama Mutoto ya Ng'ombe. Alibebwa na Mechi mbili tu zote Yanga Vs Simba na hakusajiliwa tena msimu uliofuata.
 
Kuna watu mnachuki sana aisee 🤣🤣🤣🤣 kwakua aliwakanda
 
Said Sued "Scud" hata wakiweka best 200 hawezi kuwemo. Alikuwa mchezaji wa kawaida Sana Kwa maana halisi ya neno kawaida. Namfahamu nimemuona Tangu anatoka Kigoma. Yule na Yikpe tofauti ni uraia tu Bora hata Molinga Ndama Mutoto ya Ng'ombe. Alibebwa na Mechi mbili tu zote Yanga Vs Simba na hakusajiliwa tena msimu uliofuata.
Alikuwa mzuri sana, ila alianza mambo ya Feitoto Yanga wakamnyoosha.
 
1.Aishi Manula.
2.Mtwa kihwelu
3.Mohamed Hussein 'zimbwe jr'
4.Kenny Mkapa.
5.NadirCanavaro
6.Malota Soma
7.SimomMsuva.
8.Nteze John.
9.Hussein 'Mmachinga'
10.Makumbi Juma.
11.Mussa Hassan Mgosi.

Line up is subject to change due to the other factors.*

Manula Kwa mwameja hata robo haingii
 
Wachezaji wakati nchi Ina heshima na adabu,pure talents sio hizi fake za sasa,Hamisi Gaga, Aluu Ally ,Adolf, Nico, viungo hawa ilikua ni burudani kuwaona wakionyesha vipaji vyao hasa Gaga, akiweka mpira mguuni kwake huwezi kuuchukua kirahisi na pia huwezi kumwona akijiangausha ovyo kama hawa kenges wa sasa
 
Back
Top Bottom