proffesa issa
Senior Member
- Jan 6, 2015
- 118
- 51
Me ni mwl wa geography!! Ila kwa nikijuacho mtu akiwa chuo anasoma hivyo vyote ulivyouliza a sylabus inakuguide, examination setting and marking nafikiri kama ni mwalimu bas tafuta ulipoweka hizi notsi ukiwa chuo,..!! kibaya zaidi uelewa wa wanafunzi unatofautiana so hata mbinu za ufundishaji znakuwa tofaut vile vile mfano ufundishaji wa fezaboys na st kayumba hauwez kufanana. Ni wazo langu tu lakini @my fellow tcha
Mh!Hizi ajira zimewachanganya?
Kama umehitimu ktk fani hiyo halafu hujui u2mie njia gani huo msiba mkubwa. Au chuo chenu hamjasomeshwa kozi ya special method of teaching geog? Unanitia aibu
mkuu ndio tumevisoma vyuoni lakin ukija kwenye mitihan ya NECTA marking huwa tofauti na vitu tunavyofundisha.mfano kuna wiki kadhaa nilihudhuria panel ya english mahala fulani,kitu nilichojifunza ni kuwa wanaomark mitihan ya kidato cha nne wa english huwa wana only two types of poem,old and modern na hawana form of poem ambazo walimu weng ndizo wanafundisha kama types of poem mashulen kwetu
Jaribu kuwasiliana na walimu wenzio shule mbali mbali hapo ulipo na kama watakuwa waelewa andaeni semina angalau ya siku 3 mbadilishane maarifa nahisi inaweza kuwa na msaada zaidi ndugu mwl
mkuu JF,kuna walimu tena wazur zaid ya hao unaoweza kaa nao semina for three days,labda tu nikujulishe walimu wa private schools ambao shule zao ndio zinafaulisha zaid wamo humu,nadhan itakuwa nzur kama tutadiscuss humu hum,maana huwez kumchukua mwalim wa st fransis,mbeya na mwl wa st marie,mwanza ukaweleta moro halaf mkafanya semina na huku malipo pia yanahitajika.humu ni kuzur zaid zaid ya hiyo semina