proffesa issa
Senior Member
- Jan 6, 2015
- 118
- 51
habari walimu!walimu naomba huu uwe uzi maalumu kuhusu somo la Geography kuanzia form one hadi six.walimu naomba tujuzane kuhusu mbinu bora za kufundisha hili somo,ni topic zipi za kuanza kufundisha kidato husika,muda upi ni bora wa kumaliza topic katika darasa husika,marking zinavyofanyika katika hili somo,vitu vinavyotiliwa mkazo kwenye marking lakin walimu hatuvifaham,maswali NECTA yanayoweza kutoka katika mwaka husika na mbinu za kuwafanya wanafunzi wafaulu hili somo.karibuni sana walimu