mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Huo upuuzi wa kufananisha na mfugale? Mbona hata Mbeya ipoAn overpass on the Thika - Kenol Dual Carriage way... built in the early 90s, this rd has over 5 such overpasses.
View attachment 973386
View attachment 973390
Kenyans ongo sana kigali ya wapi hiiIthink i deleted it .I can't remember it's name too. Meanwhile, show me one lyk tis kutk dar.
Kigali Rwanda
View attachment 973516
ππshawty ,mbona mafeelings?Basi we Ukapimwe Akili
kumbe hata Rwanda huijui
Rwanda haina Highways
Nitaleta highway .Inaitwa nya..... Something. Nilikuwa nimei~post kwa ule Uzi wA matusi na umbea. (Dar vs NaiAre you sure hapo ni Kigali!? Kwakua umeshafika taja jina la eneo mrembo. Ukiangalia bango la pembeni hapo lime andikwa in Arabic.
Si wakenya.Actually, That pic was uploaded by a rwandese. I came across it somewhere. Waafrika kwa kutamani vya wenyewe lol instead of working to achieve it.Ni vizuri u wa keen 2notc that's not Kigali.Kenyans ongo sana kigali ya wapi hii
Jina lenyewe ni gumu kukumbuka.Are you sure hapo ni Kigali!? Kwakua umeshafika taja jina la eneo mrembo. Ukiangalia bango la pembeni hapo lime andikwa in Arabic.
Janerose we ni boya Nilikua sijuiJina lenyewe ni gumu kukumbuka.View attachment 973712
Uko serious au unatania!! Hii hata Arusha, Mwanza, Iringa, Mbeya, Morogoro hipo. Najua ata Eldo na Kisumu huwezi kosa road kama hii. Nilijua nilicho kuuliza, Kigali ni pazuri ila kui compare na Dar ni kujitoa ufahamu. Mfano fly overs zinajengwa kutokana na mahitaji siyo mapambo, kwa Kigali ilivyo in the near future siioni ikiwa na fly over. Ila mpaka 2025 Dar itakua na fly over 7, hapa naongelea miradi ambayo michoro ipo tayari na pesa imeshatengwa mengine ujenzi ume anza. Hapo bado kuna junctions ambazo zipo center upembuzi umeanza wa kuziwekea Fly over kama Morocco, Magomeni na Mwenge. Mimi nimefika Nai na Kampala ukweli kabisa Dar na Nai ndiyo miji ambayo itachuana E.A, Kigali ni kadogo sana inaweza ikawa sawa na wilaya moja ya Dar kimwonekano mpaka mapato.Jina lenyewe ni gumu kukumbuka.View attachment 973712
Sasa Nairobi yao wanayoipigia kelele ina nn?unajua Hii miji yetu ya apa Africa mashariki Ni chaos tuUko serious au unatania!! Hii hata Arusha, Mwanza, Iringa, Mbeya, Morogoro hipo. Najua ata Eldo na Kisumu huwezi kosa road kama hii. Nilijua nilicho kuuliza, Kigali ni pazuri ila kui compare na Dar ni kujitoa ufahamu. Mfano fly overs zinajengwa kutokana na mahitaji siyo mapambo, kwa Kigali ilivyo in the near future siioni ikiwa na fly over. Ila mpaka 2025 Dar itakua na fly over 7, hapa naongelea miradi ambayo michoro ipo tayari na pesa imeshatengwa mengine ujenzi ume anza. Hapo bado kuna junctions ambazo zipo center upembuzi umeanza wa kuziwekea Fly over kama Morocco, Magomeni na Mwenge. Mimi nimefika Nai na Kampala ukweli kabisa Dar na Nai ndiyo miji ambayo itachuana E.A, Kigali ni kadogo sana inaweza ikawa sawa na wilaya moja ya Dar kimwonekano mpaka mapato.
Rwanda wana km ngap za paved road? Do you know Tz iko na 12,453kmEti wanajiliwaza na miundo mbinu ya Rwanda. Nchi ambayo huwa wanaiponda wakisema kwamba ni mkoa ndani ya Tz.
Ni michosho tu, Dar ina potential sana. Mfano BRT sizani kama kuna jiji hapa Africa unaeza kufanikiwa zaidi ya Dar. Mfumo wa Daladala umeji sort vizuri na kutengeneza njia ya BRT kufanya kazi. Watu wame gawanyika kila kona, hii inaleta economies of scale kwenye biashara ya usafiri. Mfumo wa ujamaa ume saidia hili kuwepo, ngumu mtu akataja sehemu ya Dar uka conclude kwamba huko hamna wenye pesa. Bunju, Mbagala, Kigamboni, Kibamba, kote ni sehemu zenye watu wenye vipato tofauti na road zake ni muhimu. Sasa nenda Nairobi, wameji classify walalahoi na matajiri hili lime enda mpaka ngazi ya kitaifa, western Kenya kunatia huruma. Changamoto yake ni ngumu kupata umoja wa kitaifa. Ata zile post election violence ni rahisi kutokea, watu waliopinda wako sehemu moja tena mara nyingi wanakua ni kabila moja inakua rahisi kuji mobilise. Njemba zina chomoka kibera na mapanga zinaingia street kufanya fujo na kuiba.Sasa Nairobi yao wanayoipigia kelele ina nn?unajua Hii miji yetu ya apa Africa mashariki Ni chaos tu
Wewe ulitaka kutubia apa sasa umebambwa unajifanya Ali upload mtu mwingineSi wakenya.Actually, That pic was uploaded by a rwandese. I came across it somewhere. Waafrika kwa kutamani vya wenyewe lol instead of working to achieve it.Ni vizuri u wa keen 2notc that's not Kigali.
Sasa 12k kilometers Kwa nchi mara mbili ya Kenya ndio sifa kwako?Rwanda wana km ngap za paved road? Do you know Tz iko na 12,453km View attachment 973761View attachment 973762
Unauliza au unasema?Sasa 12k kilometers Kwa nchi mara mbili ya Kenya ndio sifa kwako?
Nasema mahali niliitoa.Wewe ulitaka kutubia apa sasa umebambwa unajifanya Ali upload mtu mwingine
Janerose we ni boya Nilikua sijui
Hii ni barabara ambayo hata Arusha ipo Dar izo barabara Ni nyingi nikusaidie kuzitaja hapa,Nyerere road ,Mandela road,Sam nujoma road,New bagamoyo road,kawawa road,kilwa road,Ali Hassan mwinyi road,Bibi titi road nk. ..mnateseka Sana Sana Dar
Janerose we ni boya Nilikua sijui
Hii ni barabara ambayo hata Arusha ipo Dar izo barabara Ni nyingi nikusaidie kuzitaja hapa,Nyerere road ,Mandela road,Sam nujoma road,New bagamoyo road,kawawa road,kilwa road,Ali Hassan mwinyi road,Bibi titi road nk. ..mnateseka Sana Sana Dar
Wanaume wa dar kwa mihemko hawana wapinzani.πππππ.Uko serious au unatania!! Hii hata Arusha, Mwanza, Iringa, Mbeya, Morogoro hipo. Najua ata Eldo na Kisumu huwezi kosa road kama hii. Nilijua nilicho kuuliza, Kigali ni pazuri ila kui compare na Dar ni kujitoa ufahamu. Mfano fly overs zinajengwa kutokana na mahitaji siyo mapambo, kwa Kigali ilivyo in the near future siioni ikiwa na fly over. Ila mpaka 2025 Dar itakua na fly over 7, hapa naongelea miradi ambayo michoro ipo tayari na pesa imeshatengwa mengine ujenzi ume anza. Hapo bado kuna junctions ambazo zipo center upembuzi umeanza wa kuziwekea Fly over kama Morocco, Magomeni na Mwenge. Mimi nimefika Nai na Kampala ukweli kabisa Dar na Nai ndiyo miji ambayo itachuana E.A, Kigali ni kadogo sana inaweza ikawa sawa na wilaya moja ya Dar kimwonekano mpaka mapato.
Kha wekweli Mtambo hahahaJina lenyewe ni gumu kukumbuka.View attachment 973712