Tanzania gets first flyover thanks to Japanese grant

Sasa 12k kilometers Kwa nchi mara mbili ya Kenya ndio sifa kwako?
Watu wa ajabu sana hawa, nawakashifu kwa kujilinganisha na Rwanda kwenye flyover na highways naye mwingine anaibuka na pumba zingine, eti wana mabarabara mengi zaidi yao. Rwanda, nchi ambayo size yake ukiilinganisha na Tz ni ndogo zaidi ya mara kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…