pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Watu wa ajabu sana hawa, nawakashifu kwa kujilinganisha na Rwanda kwenye flyover na highways naye mwingine anaibuka na pumba zingine, eti wana mabarabara mengi zaidi yao. Rwanda, nchi ambayo size yake ukiilinganisha na Tz ni ndogo zaidi ya mara kumi.Sasa 12k kilometers Kwa nchi mara mbili ya Kenya ndio sifa kwako?