Tanzania govt admits, no progress on Bagamoyo port project

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Dodoma. The government admitted yesterday that it has not made progress with the implementation of Bagamoyo port project because of failing to reach an agreement with Oman and China, who are the project implementing partners.

In November, 2017, Oman’s State General Reserve Fund (SGRF) announced that the Bagamoyo project was going ahead, saying it consisted of the construction of a maritime port, which would be built to international standards and would be developed in phases.

According to the SGRF, the first phase will conclude four marine berths, two of which will be allocated for containers, one for multiple uses and the other for support services.

However, the time frame for completion of the project remains unclear.

No progress on Bagamoyo port project, govt admits
 
....this COUNTRY bwana is very POOR. (in mpoto's voice)
 
When will Bongolalas admit that their leaders launch projects for dick measuring contest with Kenyans.

Wakenya wakipanga lapset, Bongo wako na Bagamoyo

Wakenya wakipanga SGR, Bongo wanazidua yao

Halafu mnangoja tutoe data za tourist earnings ili muongeze zenu on top ha ha ha.
 
Yeah ni bora haijajengwa...izo ni deal as ex pres katika kuinua mkoa wake wa Pwani...sababu zingine hawatazisema wazi.

Sasa kama MK254 Unafuatilia habar Za Bongo utakua unafaham kwamba Dar port is under construction, Tanga port,Mtwara port hasa ujenge ingine mpya ya nn.
 
Kiukweli sikuwahi kuona umuhimu wa Hii bandari ya Bagamoyo,
Ulikuwa ni upigaji tuu, utakumbuka moja ya makubaliano ya mradi huo tulijadili sana hapa, ilikuwa Wachina kumiliki bandari hiyo kwa miaka mingi (vitu kupitishwa bila kodi). Yale tunayoyasikia Sri lanka, Kenya, Zambia na horn of Africa yangekuwa kwetu. Miradi yote aliyoianzisha Magu inatija hasa kwa Taifa.
 
Ilikuwa wazi lazima Magufuli angeipiga chini tu.
 
Kiukweli sikuwahi kuona umuhimu wa Hii bandari ya Bagamoyo, Provided we have Dar port under under expansion aside Tanga and Mtwara Ports,
Ni kama vile ile Wanajenga wachina kule Lamu, A White Elephant [emoji208] project

Hahahaha. Stop lying can I get you your own quote the way you were on top of roofs shouting allover for Bagamoyo Port, when the thing has failed miserably you now switch goal posts. Typical Danganyikan
 
Naam... Hasa uwanja wa ndege wa Chato.
Ulikuwa ni upigaji tuu, utakumbuka moja ya makubaliano ya mradi huo tulijadili sana hapa, ilikuwa Wachina kumiliki bandari hiyo kwa miaka mingi (vitu kupitishwa bila kodi). Yale tunayoyasikia Sri lanka, Kenya, Zambia na horn of Africa yangekuwa kwetu. Miradi yote aliyoianzisha Magu inatija hasa kwa Taifa.
 
Safi sana, it was a scam, imagine for 20 years the port will be private property and out from being taxed. Meanwhile we have Dar, Tanga, Mtwara all under the massive expansion and modernisation, then what for?
 
Hii bandari ni mojawapo wa miradi ambayo Kikwete alikua ametupelekesha balaa, yule kwa kweli angeendelea miaka mingine kumi angesababisha Tanzania itukaribie kiuchumi, leo hii awamu ya tano haina chochote cha kuonyesha zaidi ya mafanikio ya Kikwete, hata ukuaji wa uchumi umeshuka hadi wamegoma IMF wasiandike.

Kikwete alikimbiza uchumi hadi kuna kipindi kafikisha 8.5%, yule alitupa ushindani wa kiaina japo na sisi tulikimbia. Hata SGR nakumbuka alikua ameingia mkataba na Wachina waijenge yote kwa mpigo mmoja.

Kwa kipindi cha sasa hamna kikubwa zaidi ya matamko na mikwara na ununuaji wa mindege inayobeba nyama na kuendeshwa kwa hasara eti national pride.
 
Endelea kubonyeza buttons za watu wengine, hapa nakusoma vizuri sana.
 
Hii bandari ni mojawapo wa miradi ambayo Kikwete alikua ametupelekesha balaa, yule kwa kweli angeendelea miaka mingine kumi angesababisha Tanzania itukaribie kiuchumi, leo hii awamu ya tano haina chochote cha kuonyesha zaidi ya mafanikio ya Kikwete, hata ukuaji wa uchumi umeshuka hadi wamegoma IMF wasiandike.

Kikwete alikimbiza uchumi hadi kuna kipindi kafikisha 8.5%, yule alitupa ushindani wa kiaina japo na sisi tulikimbia. Hata SGR nakumbuka alikua ameingia mkataba na Wachina waijenge yote kwa mpigo mmoja.

Kwa kipindi cha sasa hamna kikubwa zaidi ya matamko na mikwara na ununuaji wa mindege inayobeba nyama na kuendeshwa kwa hasara eti national pride.
Stieglers gorge dam ndio itavuta investors wengi sana, ungekua na akili huu ndio mradi wa kuuogopa.
 
Huyo Joji mnataja taja tu kama ilivyokua kwa Bagamoyo, nakumbuka humu mlivuruga kila siku mnataja Bagamoyo.

Halafu naona Bloomerg ripoti yao kuwahusu nyie imevuja, inasema mnaanzisha miradi mingi kiholela bila kuonekana kuwa na mikakati.
Duh! Hiyo ripoti ambayo imeangazwa na Reuters inawasema vibaya sana ikiwemo uchumi ulivyoshuka, ndio maana GoT walikataa isichapishwe, bora mkakaa na kutathmini upya na kujua mnakoelekea.

Ukizingatia ripoti ya CAG wenu inaonyesha awamu hii mumepiga kuliko awamu zote, tatizo mumeishia kujadili neno 'udhaifu' badala ya madudu yaliyomo humo.
 
Huyo Joji mnataja taja tu kama ilivyokua kwa Bagamoyo, nakumbuka humu mlivuruga kila siku mnataja Bagamoyo.
Halafu naona Bloomerg ripoti yao kuwahusu nyie imevuja, inasema mnaanzisha miradi mingi kiholela bila kuonekana kuwa na mikakati.
Duh! Hiyo ripoti ambayo imeangazwa na Reuters inawasema vibaya sana ikiwemo uchumi ulivyoshuka, ndio maana GoT walikataa isichapishwe, bora mkakaa na kutathmini upya na kujua mnakoelekea.
Mradi unaanza next month wewe piga mdomo tu ,na hakuna mradi ulionzishwa ukafa utawala huu, kama upo nitajie mmoja...makusanyo yanaongezeka utegemezi unapungua how comes makusanyo yaongezeke kama uchumi haupandi?report zingine Za kipumbav tu
 
Back
Top Bottom