Huyo Joji mnataja taja tu kama ilivyokua kwa Bagamoyo, nakumbuka humu mlivuruga kila siku mnataja Bagamoyo.
Halafu naona Bloomerg ripoti yao kuwahusu nyie imevuja, inasema mnaanzisha miradi mingi kiholela bila kuonekana kuwa na mikakati.
Duh! Hiyo ripoti ambayo imeangazwa na Reuters inawasema vibaya sana ikiwemo uchumi ulivyoshuka, ndio maana GoT walikataa isichapishwe, bora mkakaa na kutathmini upya na kujua mnakoelekea.
Ukizingatia ripoti ya CAG wenu inaonyesha awamu hii mumepiga kuliko awamu zote, tatizo mumeishia kujadili neno 'udhaifu' badala ya madudu yaliyomo humo.