does JK know about this?There was Never gonna be a Bagamoyo Port.It was just an erection of a toddler.
Ulikuwa ni upigaji tuu, utakumbuka moja ya makubaliano ya mradi huo tulijadili sana hapa, ilikuwa Wachina kumiliki bandari hiyo kwa miaka mingi (vitu kupitishwa bila kodi). Yale tunayoyasikia Sri lanka, Kenya, Zambia na horn of Africa yangekuwa kwetu. Miradi yote aliyoianzisha Magu inatija hasa kwa Taifa.Kiukweli sikuwahi kuona umuhimu wa Hii bandari ya Bagamoyo,
Ilikuwa wazi lazima Magufuli angeipiga chini tu.Ulikuwa ni upigaji tuu, utakumbuka moja ya makubaliano ya mradi huo tulijadili sana hapa, ilikuwa Wachina kumiliki bandari hiyo kwa miaka mingi (vitu kupitishwa bila kodi). Yale tunayoyasikia Sri lanka, Kenya, Zambia na horn of Africa yangekuwa kwetu. Miradi yote aliyoianzisha Magu inatija hasa kwa Taifa.
Kiukweli sikuwahi kuona umuhimu wa Hii bandari ya Bagamoyo, Provided we have Dar port under under expansion aside Tanga and Mtwara Ports,
Ni kama vile ile Wanajenga wachina kule Lamu, A White Elephant [emoji208] project
Ulikuwa ni upigaji tuu, utakumbuka moja ya makubaliano ya mradi huo tulijadili sana hapa, ilikuwa Wachina kumiliki bandari hiyo kwa miaka mingi (vitu kupitishwa bila kodi). Yale tunayoyasikia Sri lanka, Kenya, Zambia na horn of Africa yangekuwa kwetu. Miradi yote aliyoianzisha Magu inatija hasa kwa Taifa.
Leta picha ya uwanja wa Chato.Naam... Hasa uwanja wa ndege wa Chato.
Endelea kubonyeza buttons za watu wengine, hapa nakusoma vizuri sana.Hii bandari ni mojawapo wa miradi ambayo Kikwete alikua ametupelekesha balaa, yule kwa kweli angeendelea miaka mingine kumi angesababisha Tanzania itukaribie kiuchumi, leo hii awamu ya tano haina chochote cha kuonyesha zaidi ya mafanikio ya Kikwete, hata ukuaji wa uchumi umeshuka hadi wamegoma IMF wasiandike.
Kikwete alikimbiza uchumi hadi kuna kipindi kafikisha 8.5%, yule alitupa ushindani wa kiaina japo na sisi tulikimbia. Hata SGR nakumbuka alikua ameingia mkataba na Wachina waijenge yote kwa mpigo mmoja.
Kwa kipindi cha sasa hamna kikubwa zaidi ya matamko na mikwara na ununuaji wa mindege inayobeba nyama na kuendeshwa kwa hasara eti national pride.
Stieglers gorge dam ndio itavuta investors wengi sana, ungekua na akili huu ndio mradi wa kuuogopa.Hii bandari ni mojawapo wa miradi ambayo Kikwete alikua ametupelekesha balaa, yule kwa kweli angeendelea miaka mingine kumi angesababisha Tanzania itukaribie kiuchumi, leo hii awamu ya tano haina chochote cha kuonyesha zaidi ya mafanikio ya Kikwete, hata ukuaji wa uchumi umeshuka hadi wamegoma IMF wasiandike.
Kikwete alikimbiza uchumi hadi kuna kipindi kafikisha 8.5%, yule alitupa ushindani wa kiaina japo na sisi tulikimbia. Hata SGR nakumbuka alikua ameingia mkataba na Wachina waijenge yote kwa mpigo mmoja.
Kwa kipindi cha sasa hamna kikubwa zaidi ya matamko na mikwara na ununuaji wa mindege inayobeba nyama na kuendeshwa kwa hasara eti national pride.
Stieglers gorge dam ndio itavuta investors wengi sana, ungekua na akili huu ndio mradi wa kuuogopa.
Mradi unaanza next month wewe piga mdomo tu ,na hakuna mradi ulionzishwa ukafa utawala huu, kama upo nitajie mmoja...makusanyo yanaongezeka utegemezi unapungua how comes makusanyo yaongezeke kama uchumi haupandi?report zingine Za kipumbav tuHuyo Joji mnataja taja tu kama ilivyokua kwa Bagamoyo, nakumbuka humu mlivuruga kila siku mnataja Bagamoyo.
Halafu naona Bloomerg ripoti yao kuwahusu nyie imevuja, inasema mnaanzisha miradi mingi kiholela bila kuonekana kuwa na mikakati.
Duh! Hiyo ripoti ambayo imeangazwa na Reuters inawasema vibaya sana ikiwemo uchumi ulivyoshuka, ndio maana GoT walikataa isichapishwe, bora mkakaa na kutathmini upya na kujua mnakoelekea.