Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
MK254 tuachie nchi yetu, maana unatuzidishia machungu... Ukiifikiria sana hii nchi unaweza kufa kwa stress, kiukweli tumepoteza dira ingawa hatutaki kusema ukweli. Lakini utashangaa kuna watu wanashupaza shingo kutetea ujinga kwa kudhani kuwa huo ndiyo uzalendo... 😔😔😔Huyo Joji mnataja taja tu kama ilivyokua kwa Bagamoyo, nakumbuka humu mlivuruga kila siku mnataja Bagamoyo.
Halafu naona Bloomerg ripoti yao kuwahusu nyie imevuja, inasema mnaanzisha miradi mingi kiholela bila kuonekana kuwa na mikakati.
Duh! Hiyo ripoti ambayo imeangazwa na Reuters inawasema vibaya sana ikiwemo uchumi ulivyoshuka, ndio maana GoT walikataa isichapishwe, bora mkakaa na kutathmini upya na kujua mnakoelekea.
Ukizingatia ripoti ya CAG wenu inaonyesha awamu hii mumepiga kuliko awamu zote, tatizo mumeishia kujadili neno 'udhaifu' badala ya madudu yaliyomo humo.
Hilo neno next month mlilitaja sana kwenye mradi wa Bagamoyo.Mradi unaanza next month wewe piga mdomo tu ,na hakuna mradi ulionzishwa ukafa utawala huu, kama upo nitajie mmoja...makusanyo yanaongezeka utegemezi unapungua how comes makusanyo yaongezeke kama uchumi haupandi?report zingine Za kipumbav tu
Hilo ndo swali nilikua nikiwauliza tokea kitambo wakati mlikua mkijisifia bagamoyo.... Na jibu lenu ilikua eti bagamoyo ni PPP kwahivyo serekali haitagaramika chochole...Safi sana, it was a scam, imagine for 20 years the port will be private property and out from being taxed. Meanwhile we have Dar, Tanga, Mtwara all under the massive expansion and modernisation, then what for?
Mradi unaanza next month wewe piga mdomo tu ,na hakuna mradi ulionzishwa ukafa utawala huu, kama upo nitajie mmoja...makusanyo yanaongezeka utegemezi unapungua how comes makusanyo yaongezeke kama uchumi haupandi?report zingine Za kipumbav tu
Huyo Joji mnataja taja tu kama ilivyokua kwa Bagamoyo, nakumbuka humu mlivuruga kila siku mnataja Bagamoyo.
Halafu naona Bloomerg ripoti yao kuwahusu nyie imevuja, inasema mnaanzisha miradi mingi kiholela bila kuonekana kuwa na mikakati.
Duh! Hiyo ripoti ambayo imeangazwa na Reuters inawasema vibaya sana ikiwemo uchumi ulivyoshuka, ndio maana GoT walikataa isichapishwe, bora mkakaa na kutathmini upya na kujua mnakoelekea.
Ukizingatia ripoti ya CAG wenu inaonyesha awamu hii mumepiga kuliko awamu zote, tatizo mumeishia kujadili neno 'udhaifu' badala ya madudu yaliyomo humo.
Somehow we value our sovereignty,
Lengo letu sio kuwafurahisha Wazungu kama Nyie,
Hatushindani na mtu tunafanya juhudi tuinue maisha yetu,
Thats all.
Acha uboya. Jambo kama limetokea kwa maamuzi mabaya,kama mtanzania mzalendo unatakiwa ukosoe na kushauri. Sio kutetea ujingaSomehow we value our sovereignty,
Lengo letu sio kuwafurahisha Wazungu kama Nyie,
Hatushindani na mtu tunafanya juhudi tuinue maisha yetu,
Thats all.
Mahindi nunueni ata Sri lanka, sisi tutawauzia ungaHilo neno next month mlilitaja sana kwenye mradi wa Bagamoyo.
Pia kuna mengi yanayoweza kusababisha mapato yakaongezeka ikiwemo kuwatoza watu kodi za kiajabu ajabu kama hilo la machinga.
Halafu umeme wa stigla joji sio issue kubwa maana haimaanishi kuwa mna upungufu wa umeme kwa sasa, matatizo yapo kwenye usambazaji. Hapo unawezakuta sisi tukifaidi na huo umeme ikitokea mumeuzalisha hadi kupitiliza.
Siku uongozi wa nchi yenu utakua na mikakati ya kutumia hayo mapori kama food basket ya Afrika ndio mtatoka, kwa leo haiwezekani maana mpo kichuki chuki zaidi. Hata mahindi tunalazimika kuagiza kutoka Zambia na mataifa ya mbali ilhali mpo mpo tu.
Wekezeni kwenye ukulima kwa kutumia nguvu zote, acheni sifa za mindege maana ni hasara tu hamna jipya humo.
Stieglers gorge hydroelectric dam ni kwa ajili ya TZ hata nyie mnaweza pata ndio,tunalima sana Ni lini tumenunua chakula kwenu?Hilo neno next month mlilitaja sana kwenye mradi wa Bagamoyo.
Pia kuna mengi yanayoweza kusababisha mapato yakaongezeka ikiwemo kuwatoza watu kodi za kiajabu ajabu kama hilo la machinga.
Halafu umeme wa stigla joji sio issue kubwa maana haimaanishi kuwa mna upungufu wa umeme kwa sasa, matatizo yapo kwenye usambazaji. Hapo unawezakuta sisi tukifaidi na huo umeme ikitokea mumeuzalisha hadi kupitiliza.
Siku uongozi wa nchi yenu utakua na mikakati ya kutumia hayo mapori kama food basket ya Afrika ndio mtatoka, kwa leo haiwezekani maana mpo kichuki chuki zaidi. Hata mahindi tunalazimika kuagiza kutoka Zambia na mataifa ya mbali ilhali mpo mpo tu.
Wekezeni kwenye ukulima kwa kutumia nguvu zote, acheni sifa za mindege maana ni hasara tu hamna jipya humo.
nimachojua mimi huduma ikiwa nzuri ma tija wateja uwa wengi. sio mbaya kuwa na bandari ya bagamoyo kwa sababu itaongeza ufanisi na meli zinazokimbia foleni ya kushusha zitakuja kwa wingi, pia itaongeza ajira kwa watanzania na kodi kwa serikali kupitia wafanyakazi, na malipo mbalimbali . hivyo ni muhimu kuwa na bandari nyingi ziwezekanazoMi siungi mkono kujengwa hiyo bandari tunazo za Tanga na Mtwara ni kuupgrade tuu kwa kujenga magati mapya na kuongeza kina hasa Tanga.Mtwara kuna mradi wa kujenga gati mpya unaendelea.Na hv reli ya kwenda kaskazini Moshi na Arusha inaendelea kurekebishwa soon mambo yatakuwa mazuri.
Sasa hapo nani mwnye chuki, Hujielewi weweHilo neno next month mlilitaja sana kwenye mradi wa Bagamoyo.
Pia kuna mengi yanayoweza kusababisha mapato yakaongezeka ikiwemo kuwatoza watu kodi za kiajabu ajabu kama hilo la machinga.
Halafu umeme wa stigla joji sio issue kubwa maana haimaanishi kuwa mna upungufu wa umeme kwa sasa, matatizo yapo kwenye usambazaji. Hapo unawezakuta sisi tukifaidi na huo umeme ikitokea mumeuzalisha hadi kupitiliza.
Siku uongozi wa nchi yenu utakua na mikakati ya kutumia hayo mapori kama food basket ya Afrika ndio mtatoka, kwa leo haiwezekani maana mpo kichuki chuki zaidi. Hata mahindi tunalazimika kuagiza kutoka Zambia na mataifa ya mbali ilhali mpo mpo tu.
Wekezeni kwenye ukulima kwa kutumia nguvu zote, acheni sifa za mindege maana ni hasara tu hamna jipya humo.
SO umekubali kuwa tumewinHilo ndo swali nilikua nikiwauliza tokea kitambo wakati mlikua mkijisifia bagamoyo.... Na jibu lenu ilikua eti bagamoyo ni PPP kwahivyo serekali haitagaramika chochole...
Nilikua nikiwaambia bagamoyo ikishajengwa hizo bandari zengine zenu zote za serekali zitakufa manake biashara karibu zote kuu za mizigo zingeshift to bagamoyo manake hio bandari ilikua itakua more efficient than Dar port. Yani bandari ya Dar ingebaki kupokeza mizigo ya Dar pekee, mizigo ya the rest of Tz ingepitia Bagamoyo ....
Sawa, utakapoanza tu wewe ni wakwanza kukutag na please itakapofika usile buyu nitaomba uoneshe uwepo wakoHata safari za Mumbai pia ilikuanga next month from last year.
So, unataka kusema Bandari ya Bagamoyo ni sahihi ijengwe?Acha uboya. Jambo kama limetokea kwa maamuzi mabaya,kama mtanzania mzalendo unatakiwa ukosoe na kushauri. Sio kutetea ujinga
There was Never gonna be a Bagamoyo Port.It was just an erection of a toddler.
Safi sana, it was a scam, imagine for 20 years the port will be private property and out from being taxed. Meanwhile we have Dar, Tanga, Mtwara all under the massive expansion and modernisation, then what for?