Nchi ilikabidhiwa kwa washamba na malimbukeni ambayo yako busy kueneza ukabila na ukanda pamoja na kufanya ufisadi wa kishamba eti hela za miradi fulani mikubwa ni marufuku kupita bungeni
Hizi ndiyo sera zenu CCM?Nikikuita kuwa wewe ni zezeta nitakuwa nimekuonea?Mwaka huu imekula kwenu, maana ule unyama mliokuwa mkiwafanyia albino kipindi kama hiki cha uchaguzi hamna tena. Sikilizieni tu machungu.
Ni nini hii?Hii siyo expressway..
Hizi ndiyo sera zenu CCM?Nikikuita kuwa wewe ni zezeta nitakuwa nimekuonea?
Mm siyo mfuasi wa chama chochote cha siasa ila kwa akili zako unadhani wapinzani wangekuwa ndo wanaongoza hii nchi ndo kungekuwa na express way unayoisema, waafrika ni waaafrika tu mambo yangekuwa yale yale au huenda ingekuwa afadhali ya ccmWote tunatambua kwamba ili Barabara iwe expressway au freeway highway lazima ikidhi vigezo.
Kenya wana Mombasa Expressway na Uganda wana Entebe Expressway.
Tanzania hakuna barabara yenye kiwango hicho hadi mwaka 2020.
Kimara kibaha ingeweza kuwa expressway lakini design iliyopo hai-qualify.
Tanroad mnakwama wapi?
View attachment 1579792View attachment 1579793
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mabumunda ya Lisu katika ubora wenu!
Kwani na nyie mnataka mabarabara?
Nyie si mnataka hela mfukoni au?
Mm siyo mfuasi wa chama chochote cha siasa ila kwa akili zako unadhani wapinzani wangekuwa ndo wanaongoza hii nchi ndo kungekuwa na express way unayoisema, waafrika ni waaafrika tu mambo yangekuwa yale yale au huenda ingekuwa afadhali ya ccm
Hii siyo expressway..
Mm siyo mfuasi wa chama chochote cha siasa ila kwa akili zako unadhani wapinzani wangekuwa ndo wanaongoza hii nchi ndo kungekuwa na express way unayoisema, waafrika ni waaafrika tu mambo yangekuwa yale yale au huenda ingekuwa afadhali ya ccm
Humu wengi mnabishania kuhusu vyama badala ya kujiuliza kwann had leo tanzania imeshindwa kuwa na hizo expressway.
Jaman msisahau kuwa waafrika wote ni wale wale wa "pangu pakavu tia mchuzi" ata unaeisi ni bora nae unaweza kuta ni yale yale
Kwani maendeleo ni barabara mbona hatuwaelew [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]CCM ndio imetudumaza kupata maendeleo
Mbona hukuleta ya Kenya ambayo unaisifia? Au jina la express way ndio linakufanya uweweseke?Anglieni USA, China, europe na Russia jinsi walivyozijenga barabara zao..
Mbona hukuleta ya Kenya ambayo unaisifia? Au jina la express way ndio linakufanya uweweseke?
Ushamba unafahamu maana yake? Umeweka picha sio za kenya kwani umeshindwa nini kufanya hivyo? Ndio mambo ya kujishaua hayo, unalo hilo! No wonder ulichagua jina la tabu tupu, I mean in your life you have never been successful. Then you come talk about school, phew pathetic!Tatizo la watanzania ni ushamba na uvivu wa kujisomea.
Nini kinakufanya usielewe maana ya xpressway..? Kazi kuchat ujinga.
Shule mmemalizaje nyie?
What does express mean in your stupid brain!?Hii siyo expressway..
Kwa sababu kenya na uganda zipo basi na sie tunatakiwa tuwe nazo?Wote tunatambua kwamba ili Barabara iwe expressway au freeway highway lazima ikidhi vigezo.
Kenya wana Mombasa Expressway na Uganda wana Entebe Expressway.
Tanzania hakuna barabara yenye kiwango hicho hadi mwaka 2020.
Kimara kibaha ingeweza kuwa expressway lakini design iliyopo hai-qualify.
Tanroad mnakwama wapi?
View attachment 1579792View attachment 1579793
Nilicho gundua ww sio tu zuzu...ila hujui hata unacho jadili....[emoji706]....kwanza hata unaweza tofautisha express way na highway kweli ww[emoji57]Ndio maana ulaya timu ikizingua wanafukuza kocha... sasa sisi timu inazingua miaka nenda rudi badi kocha ccm anakupa miaamala.[emoji1][emoji1]