Tanzania hadi 2020 haina barabara ambayo ni Expressway au Freeway

Hatukusema ndege za kifisadi
Chadema tumieni mbinu mpya..2015 mlisema Tz haina hata Ndege Moja, JPM akanunua mkanuna.
Leo mnasema hamna "Express way" Ikijengwa bado mtanuna. Watanzania washaa zoea utopolo wenu, tafuteni jipya
 
Nchi ilikabidhiwa kwa washamba na malimbukeni ambayo yako busy kueneza ukabila na ukanda pamoja na kufanya ufisadi wa kishamba eti hela za miradi fulani mikubwa ni marufuku kupita bungeni

Mwaka huu imekula kwenu, maana ule unyama mliokuwa mkiwafanyia albino kipindi kama hiki cha uchaguzi hamna tena. Sikilizieni tu machungu.
 
Hizi ndiyo sera zenu CCM?Nikikuita kuwa wewe ni zezeta nitakuwa nimekuonea?
 
Wote tunatambua kwamba ili Barabara iwe expressway au freeway highway lazima ikidhi vigezo.

Kenya wana Mombasa Expressway na Uganda wana Entebe Expressway.

Tanzania hakuna barabara yenye kiwango hicho hadi mwaka 2020.

Kimara kibaha ingeweza kuwa expressway lakini design iliyopo hai-qualify.

Tanroad mnakwama wapi?

View attachment 1579792View attachment 1579793
Mm siyo mfuasi wa chama chochote cha siasa ila kwa akili zako unadhani wapinzani wangekuwa ndo wanaongoza hii nchi ndo kungekuwa na express way unayoisema, waafrika ni waaafrika tu mambo yangekuwa yale yale au huenda ingekuwa afadhali ya ccm
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mabumunda ya Lisu katika ubora wenu!

Kwani na nyie mnataka mabarabara?
Nyie si mnataka hela mfukoni au?

[emoji23][emoji23][emoji23]ni kama mainzi hayaelewi hata yanataka nini hasa.
 
Mm siyo mfuasi wa chama chochote cha siasa ila kwa akili zako unadhani wapinzani wangekuwa ndo wanaongoza hii nchi ndo kungekuwa na express way unayoisema, waafrika ni waaafrika tu mambo yangekuwa yale yale au huenda ingekuwa afadhali ya ccm

achana na mtu mwenye stress angalai hata username yake.

yaani yeye hana jema,ni malalamiko mpaka siku anaingia kabirini.
 
Humu wengi mnabishania kuhusu vyama badala ya kujiuliza kwann had leo tanzania imeshindwa kuwa na hizo expressway.

Jaman msisahau kuwa waafrika wote ni wale wale wa "pangu pakavu tia mchuzi" ata unaeisi ni bora nae unaweza kuta ni yale yale
 
Ndio maana ulaya timu ikizingua wanafukuza kocha... sasa sisi timu inazingua miaka nenda rudi badi kocha ccm anakupa miaamala.[emoji1][emoji1]
Mm siyo mfuasi wa chama chochote cha siasa ila kwa akili zako unadhani wapinzani wangekuwa ndo wanaongoza hii nchi ndo kungekuwa na express way unayoisema, waafrika ni waaafrika tu mambo yangekuwa yale yale au huenda ingekuwa afadhali ya ccm
 
Humu wengi mnabishania kuhusu vyama badala ya kujiuliza kwann had leo tanzania imeshindwa kuwa na hizo expressway.

Jaman msisahau kuwa waafrika wote ni wale wale wa "pangu pakavu tia mchuzi" ata unaeisi ni bora nae unaweza kuta ni yale yale

sisi kama watanzania na rais wetu tumekubaliana kwamba haya maswala ni madogo,ni lazima by 2025.yawe yamekamilika kabisa.

anakuja kichaa mmoja na anakwambia maendeleo sio vitu,ni watu[emoji51][emoji51],watanzania hawawezi kula barabara.

lazima kama taifa tukubaliane kutoyumbishwa.
 
Anglieni USA, China, europe na Russia jinsi walivyozijenga barabara zao..

Mbona hukuleta ya Kenya ambayo unaisifia? Au jina la express way ndio linakufanya uweweseke?
 
Tatizo la watanzania ni ushamba na uvivu wa kujisomea.

Nini kinakufanya usielewe maana ya xpressway..? Kazi kuchat ujinga.

Shule mmemalizaje nyie?

Ushamba unafahamu maana yake? Umeweka picha sio za kenya kwani umeshindwa nini kufanya hivyo? Ndio mambo ya kujishaua hayo, unalo hilo! No wonder ulichagua jina la tabu tupu, I mean in your life you have never been successful. Then you come talk about school, phew pathetic!

BTW do not generalize I am Ole.
 
Wote tunatambua kwamba ili Barabara iwe expressway au freeway highway lazima ikidhi vigezo.

Kenya wana Mombasa Expressway na Uganda wana Entebe Expressway.

Tanzania hakuna barabara yenye kiwango hicho hadi mwaka 2020.

Kimara kibaha ingeweza kuwa expressway lakini design iliyopo hai-qualify.

Tanroad mnakwama wapi?

View attachment 1579792View attachment 1579793
Kwa sababu kenya na uganda zipo basi na sie tunatakiwa tuwe nazo?
Unafeli wapi?
 
Ndio maana ulaya timu ikizingua wanafukuza kocha... sasa sisi timu inazingua miaka nenda rudi badi kocha ccm anakupa miaamala.[emoji1][emoji1]
Nilicho gundua ww sio tu zuzu...ila hujui hata unacho jadili....[emoji706]....kwanza hata unaweza tofautisha express way na highway kweli ww[emoji57]
 
Back
Top Bottom