Serikali imeshauriwa kusimamisha kwanza makato ya tozo wakati huu wananchi wanataka mjadala wa kitaifa, imetia pamba masikioni ile tuendelee kukamuliwa! Wizi mtupu!Huyu mama alituonyesha wazi ni kiongozi wa aina gani alipowaruhusu vigogo wake kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake. Hatumsingizii ilikua live tbc. Alianza kwa kuwauliza baraza la mawaziri wake kama kila mmoja hali kwenye eneo lake kisha ndio akawaelekeza kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake.