Tanzania haifi kesho ipo milele

Serikali imeshauriwa kusimamisha kwanza makato ya tozo wakati huu wananchi wanataka mjadala wa kitaifa, imetia pamba masikioni ile tuendelee kukamuliwa! Wizi mtupu!
 
Kuweni wazalendo jamani, tozo hizi zimependekezwa na wananchi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yule mbuge wa Ilala fisadi mkubwa Zungu ndiye aliyependekeza kuanzishwa kwa tozo bungeni.

Mwizi mkubwa!
 
Tulitibiwa bure enzi za Nyerere wakati uchumi uko chini sembuse sasa tuko uchumi wa kati!
Hata wakoloni walitoa huduma ya afya bure. Hawa walamba asali wamegeuza huduma ya afya biashara hawawezi kuona serikali inatoa huduma bure. Hata hizo dawa zenye ruzuku ya serikali na vifaa vya serikali wanaiba karibu zote kuweka kwenye hospitali zao. Wahuni tu ndio kwa sasa wako kuendesha nchi. .. walaaniwe wote.
 
Wezi wakubwa hawa! Kama Nyerere aliweza kututibu kwa kodi zetu kwa nini serikali hii ya Samia haitaki na badala yake inatumia kodi zetu kulipana maposho makubwa makubwa kulingana na kamba walizojifunga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…